Jamani jobless kutatuua vijana kisaikolojia naomba msaada wenu

Jamani jobless kutatuua vijana kisaikolojia naomba msaada wenu

skyone7

Member
Joined
Nov 29, 2025
Posts
27
Reaction score
48
Habari za mwaka mpya wan JF natumai wote wazima wa afya

Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye kibarua cha kuweza kunipatia risk aniunganishe

Elimu yangu : Diploma in medical laboratory na zaid ya 4years of work experience

Nilikuja na uzi week chache zilizopita kujieleza kwa urefu pamoja na wasifu wa elimu yangu ila bado sijafanikiwa kupata sehemu

Sio lazima iwe ni medical laboratory kazi yeyote tu nitafanya

Natanguliza shukrani....


Kwa msaada 0670949523
 
Kama upo mwanza tafuta hata bajaji ya dayworker upige hela
 
Kimbilia hata huko Lubumbashi, Kalemie. Diploma ya maabara ni elimu kubwa. Kwa mtu mwenye uzoefu huwezi kosa kazi. Kuna miji salama tu huko.
 
Back
Top Bottom