Kaka yako kaenda kumuona mume wako na kumshawishi akuache. na wewe on the other hand umeingia JF kumuanzishia thread. umesema ni mbea na mjehuri na unaomba ushauri wa kumkomesha.
Mi naona kama
1. hakuna kabisa upendo kati yenu
2. Kuna kitu ulifanya kaka yako akaona, ukajaribu kumbembeleza akakataa, ukamuona mjehuri
3. akakipeleka kwa mumeo ndio maana unamuona mbeya
Kwa hali hii, sitoi ushahuri wowote until tupewe full data, or none.
Heehee kweli dunia ina mambo!! Yani naogopa hata kukupa mbinu za kisasa kama unavyotaka maana nilizonazo ni za hatari zaidi kwake na kwako!
Oky hebu ni PM
hawezi kuwa kaka labda jikaka! Mie sikushauri tena chukua time huko na mambo yako ya likaka lako kwenda zenu huko.
Mh na wewe mambo ya ndugu mpaka uje huku si uyamalize ki-homehome? Chukua time huko?
with family like that..who needs enemy???????????
Kaka yako kaenda kumuona mume wako na kumshawishi akuache. na wewe on the other hand umeingia JF kumuanzishia thread. umesema ni mbea na mjehuri na unaomba ushauri wa kumkomesha. Mi naona kama 1. hakuna kabisa upendo kati yenu 2. Kuna kitu ulifanya kaka yako akaona, ukajaribu kumbembeleza akakataa, ukamuona mjehuri 3. akakipeleka kwa mumeo ndio maana unamuona mbeya Kwa hali hii, sitoi ushahuri wowote until tupewe full data, or none.[/QUTE] MM NA MUME WANGU TUNAPENDANA SANA NA TUNA MIAKA 10 YA NDOA NA SS TUNAISH ARUSHA YY DAR hkn CHCHT ALICHOONA ZAID YA KUSKIA KW TUMEKOROFISHANA MAMBO YA KAWAHDA (niligoma mume asiuze nyumba)YY TAYARI KAANZA KUSEMA NIACHWE,
kila kitu kina mwanzo na sababu ya msingi hebu tuambie wewe na kaka yako mkoje??[/QU] KIUKWELI HKN NDGU HATA 1 ANAYEMPENDA NA KUPATANA NA KAKA YETU ktkn NA TABIA ZAKE
Kama una hela ya kutosha niPM nikamlembee mikono. Hapa kitaa wananiita jeti lii.
Nimeipenda hii, Ngoja aje atujibu huo umbeya wake!Lonelyheart,hebu nikuulize swali:
kaka kavunja ndoa ya dada mkubwa,unadai alimpelekea mmewe 'umbea',huo umbea ni umbea gani kama sio kuwa na hawara?kuna sababu nyingine kweli? na uchumba wa mdogo wako kuvunjika inaweza kuwa sababu hizo hizo,si ndio? ukute kaka yako ni mtu mshika maadili na anakerwa na tabia zenu. Usiangalie ulipoangukia mama ,angalia ulipojikwaa.Langu ni hilo tu.
Combat yako ulichakachua nini? hauwez kuvaa combat bila kujua nini kulembea mikono?Kulembea mikono ndo nini sasa? Hivi hakuna dikshenari ya kitaa? Mweh!