Jamani kaka yangu kazidi, naombeni mbinu za kumshikisha adabu

Jamani kaka yangu kazidi, naombeni mbinu za kumshikisha adabu

Kaka yako kaenda kumuona mume wako na kumshawishi akuache. na wewe on the other hand umeingia JF kumuanzishia thread. umesema ni mbea na mjehuri na unaomba ushauri wa kumkomesha.
Mi naona kama
1. hakuna kabisa upendo kati yenu
2. Kuna kitu ulifanya kaka yako akaona, ukajaribu kumbembeleza akakataa, ukamuona mjehuri
3. akakipeleka kwa mumeo ndio maana unamuona mbeya
Kwa hali hii, sitoi ushahuri wowote until tupewe full data, or none.

RR nakubaliana na mtazamo wako, lkn kwa mfano ww ni mkaa ukaona dada yako ana cheat je unaweza mchomea kwa shemjio?
 
Heehee kweli dunia ina mambo!! Yani naogopa hata kukupa mbinu za kisasa kama unavyotaka maana nilizonazo ni za hatari zaidi kwake na kwako!
Oky hebu ni PM

si uanze wewe kumpm umpe huo msaada.
 
hawezi kuwa kaka labda jikaka! Mie sikushauri tena chukua time huko na mambo yako ya likaka lako kwenda zenu huko.

Du; umeshakunywa bia ngapi vile? Fundo moja tu la ziada.........
 
huyo kaka au balaa la kaka, mchunguzeni labda shoga anamtaka mumeo
 
Hapo ulivyoandika anaonekana ni gay kaka yako, maana mambo yake ya kike kike tu!!
 
Kaka yako kaenda kumuona mume wako na kumshawishi akuache. na wewe on the other hand umeingia JF kumuanzishia thread. umesema ni mbea na mjehuri na unaomba ushauri wa kumkomesha. Mi naona kama 1. hakuna kabisa upendo kati yenu 2. Kuna kitu ulifanya kaka yako akaona, ukajaribu kumbembeleza akakataa, ukamuona mjehuri 3. akakipeleka kwa mumeo ndio maana unamuona mbeya Kwa hali hii, sitoi ushahuri wowote until tupewe full data, or none.[/QUTE] MM NA MUME WANGU TUNAPENDANA SANA NA TUNA MIAKA 10 YA NDOA NA SS TUNAISH ARUSHA YY DAR hkn CHCHT ALICHOONA ZAID YA KUSKIA KW TUMEKOROFISHANA MAMBO YA KAWAHDA (niligoma mume asiuze nyumba)YY TAYARI KAANZA KUSEMA NIACHWE,
 
Ungeomba msaada wa mungu pia washirikishe watu wazima waliokaribu nanyi!
 
Lonelyheart,hebu nikuulize swali:
kaka kavunja ndoa ya dada mkubwa,unadai alimpelekea mmewe 'umbea',huo umbea ni umbea gani kama sio kuwa na hawara?kuna sababu nyingine kweli? na uchumba wa mdogo wako kuvunjika inaweza kuwa sababu hizo hizo,si ndio? ukute kaka yako ni mtu mshika maadili na anakerwa na tabia zenu. Usiangalie ulipoangukia mama ,angalia ulipojikwaa.Langu ni hilo tu.
 
Lonelyheart,hebu nikuulize swali:
kaka kavunja ndoa ya dada mkubwa,unadai alimpelekea mmewe 'umbea',huo umbea ni umbea gani kama sio kuwa na hawara?kuna sababu nyingine kweli? na uchumba wa mdogo wako kuvunjika inaweza kuwa sababu hizo hizo,si ndio? ukute kaka yako ni mtu mshika maadili na anakerwa na tabia zenu. Usiangalie ulipoangukia mama ,angalia ulipojikwaa.Langu ni hilo tu.
Nimeipenda hii, Ngoja aje atujibu huo umbeya wake!
Maana kuna watu wanafanya utumbo halafu hawataki
kuonywa!
 
Back
Top Bottom