Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
wale wenye baba zao wadogo mje mtupe habari kwanini website zao hazifununguki
 
Huyu atakua ni mwalimu wa madrasa maana kule hakuna kujifunza mwandiko kama sio hivyo basi ni mwalimu wa voda fasta
 
jamani wizara imeshindwa kuweka majina hadharani kwa sababu kuna halmashari chache bado pesa za kujikimu kwa walimu wapya bado hazina hawajatuna kwa hiyo majina kutangaza hadi Mh MAJARIWA atawatangazia siku zijazo walimu muwe waelewa
 
haha ha! Mkuu we acha nakwambia ujue nilikuwa mkesha wallah nikifika huko nanjilinji lazima nilipize pambaf kabisa!!

Munkari Nanjilinji ndio wapi?
Ukipangiwa Nanguruwe utalipiza?
 
Last edited by a moderator:
Wewe endelea kujitapa,nakumbuka watu last year walitendwa badala kupangwa Ilala wakajikuta Mtimbwilimbwi. Unajua nini kilitokea..........?

Halafu kuna wale waliotoa machozi maada ya kuona wanatakiwa kupanda mtumbwi ili kufika kwenye kituo cha kazi.
 

Truth.......she has to mind her own business.
 
Gilbert unayosema ni ya kweli kwamba jana uliona baadhi ya majina?

Mkubwa siwezi kukuongopea. Huyu jamaa ambaye amefanya hii kazi ya kudokoa ni Mkenya ambaye amesoma IT nje na si kwamba aliniambia. Nilimfata ofisini kwake nikampatia website, ya wizara na Tamisemi. Ilimchukua mda kupata ya wizara. Lakini tamisemi haikuwa na codes nyingi. Ndani ya dakika chache alinionesha selection. Ila majina yalikuwa hayajafikia ile idadi waliyosema. Nilipojaribu baadaye nilikuta yameongezeka kwa kasi. Mimi mwenyewe nimesomea dip Marangu na nimetupwa Tunduma. Leo asubuhi tumefungua tena ila codes zimewekwa kibao. Kuziondoa imetuwia shida. Halafu Tamisemi wamezima system yao.
 

Mkuu unadhani ni kwa nini wamezima system yao? Gilbert wa tarakea.
 
Last edited by a moderator:
Kama pesa zilikuwa hazijafika kwenye hizo halimashauri,walitangaza ajira ni machi 15 walimanisha nn ss.yatoke tu Leo mana kukaa mtaan panachosha
 
Mkuu unadhani ni kwa nini wamezima system yao? Gilbert wa tarakea.

according to the expert, the system might have been put off deliberetely for some intention. This is so because still the data base can receive the codes but unable to allow any stranger linkage. When we tried the first two codes agreed but the linkage code which is the last refused. To break it down could lead to our system breakdown due to The URL code used is very special and could detect the alterations.
 
Last edited by a moderator:

Dah embu watoe basi c roho zipo juu juu
 
Inawezekana nyie ndio mliosababisha usumbufu kwenye mitambo ya wizara ndio maana posts hazitangazwi mpaka saivi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…