mda gani tenaWalimu wenzangu tukae mkao wa kula mda si mrefu mambo yatakua poa, ila nashauri tupige kazi kozi tuna dhima kubwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kutokana kuwa ualimu ulianzia kwa mitume wetu.
:A S thumbs_up:
Tamisemi bwana..........
Inawezekana nyie ndio mliosababisha usumbufu kwenye mitambo ya wizara ndio maana posts hazitangazwi mpaka saivi.
Tamisemi bwana..........
Hapana mkuu. Ni kwamba wana sababu zao binafsi. Haina maana kuwa system nzima haifanyi. Kuna shughuli inaendelea humo ndani. Nikimaanisha Tamisemi. Ila wizara ni wahuni. Badala ya kuachilia mzigo wanatumia nguvu kubwa kuzuia udukuzi wa data. Hata mda huu ninapoandika ya wizara inafanya kazi lakini file la post limeprivaciwa kwenye data base system kwa kumtumia DBSA wao.
Duuh..!wewe ni mwalimu level ipi?
Degree?
Diploma?
Certificate?
Mkuu
Mbona mnawasiwasi sanaa dah mnatukera utadhani mnaenda kulipwa 5000,000/= ,kwa mwezi kumbe mnaenda kulipwa posho ya 240,000/=
Please shut up cause you can't handle my temper you have to shut down your fatmouse.Mbona mnawasiwasi sanaa dah mnatukera utadhani mnaenda kulipwa 5000,000/= ,kwa mwezi kumbe mnaenda kulipwa posho ya 240,000/=
Please shut up cause you can't handle my temper you have to shut down your fatmouth.Mbona mnawasiwasi sanaa dah mnatukera utadhani mnaenda kulipwa 5000,000/= ,kwa mwezi kumbe mnaenda kulipwa posho ya 240,000/=
kwel m majangaa,kwa hali hii mwanafnz afaulu!
You just depart from this jerky and reply our requests please don't engage in compromising issues focus on how we get those things if you really have them.Dont deceave yourself my dear friend. What if this teacher teaches KISWAHILI, GEOG, HISTORY & others put aside English subject. Do you think language matters there? This might be a good teacher in the class. When evaluating a language of any kind we base on different language skills? Did you know? And also i don't think if you are better enough to criticize my dear fellow. What you had to do, was to correct the wrong. We all learn through mistake. Myself after reading the post, i made a correction. How better are you friend?
You just depart from this jerky and reply our requests please don't engage in compromising issues focus on how we get those things if you really have them.
Please put your eyes on PM there are somethings from me.