Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
You just depart from this jerky and reply our requests please don't engage in compromising issues focus on how we get those things if you really have them.
Please put your eyes on PM there are somethings from me.
Mbona kimya? Nimekupm email.saa nyingi.ndo nasubiria apa
Sorry if there is a grammatical error Mr English.if you know nothng,concerning languages especially KIMOMBO,its better to stay calm,instead of talking thz rubbish or sometimez you may use your venacular languages instead!
hawa jamaa hawapo serious kabsaaa.!
Mbona mnawasiwasi sanaa dah mnatukera utadhani mnaenda kulipwa 5000,000/= ,kwa mwezi kumbe mnaenda kulipwa posho ya 240,000/=
if you know nothng,concerning languages especially KIMOMBO,its better to stay calm,instead of talking thz rubbish or sometimez you may use your venacular languages instead!
Hizo figure umezitoa wapi mpigamsuli?
Nimezipata kwenye jedwali la mishahara mipya la serikali ninalo hapa home
We nawe embu acha unafiki unajifanya unaponda mshahara wa walimu wakati hata wewe mwenyewe unasuburi hiyo hiyo ajira, manguruwe mengine bwana, kutwa kucha upo jukwaa la elimu kuchungulia wadau wamesema nini kuhusu ajira.
We jamaa umenitoa stress, nmecheka kweli, hivi umefikiria nini kumuita mwenzio NGURUWE? Niki imagine kichwa cha nguruwe kilivyo na pua yake hahahahahaahahahahahaaaaa.......
Mungu wangu! Mbona sijui kuendesha baiskeli? Itakuwaje,ngoja nijifunze!