bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,141
- 1,294
Pirates beach hapoJain temple mombasa
shelly beach[emoji3] [emoji3] [emoji7]
Wallah tena ,,KuLikuwa na Tamaduni Nyingi za Kuvutia ,,iLa now Twajifanya Tuko busy ,,Atufanyi Festival zetu [emoji32][emoji32][emoji32]TANGA YETU ZAMANI ILIKUWA KAMA HIVI
Yah Ni kwel ,Mie mmoja wapoUtakua umechelewa wewe maana Wabongo wa kutokea Tanga na Pwani ya Tanzania wanapapenda sana.
Uwee ni Mdigo wa Kuwi ??nambira,vikara..mombasa twaja