Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Bado sijaona mkuu, labda utupie zingine, hivi vinaonekana havina shepu vile...teh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sijaona mkuu, labda utupie zingine, hivi vinaonekana havina shepu vile...teh!
Mmmmh.... Siyo kwa povu hilo mkuu.mpaka kesho najua mombasa si sehemu ya kenya, ni tanzania pure,.. tuliwapa hilo eneo kutokana hamkuwa na bandari, mshukuruni mwl nyerere,, wakenya wenyewe ni wabaya sana kwa sura si wanaume wala wanawake.
Haha funny juu nyi ndo wanaume na wanawake why dont you post your pic tukuone before ku jugde watu,aki una sound arrogant n illiterate kenya kuna tribes na zote zina differ,mkamba hafanani na mjaluo ,mkalenjin hafanani na mkikuyu,before utu judge kwanza tembea kenya,brompaka kesho najua mombasa si sehemu ya kenya, ni tanzania pure,.. tuliwapa hilo eneo kutokana hamkuwa na bandari, mshukuruni mwl nyerere,, wakenya wenyewe ni wabaya sana kwa sura si wanaume wala wanawake.
Mombasa ni kubwa ina more than 2M pple so unataka kusema umetembelea nyumba 2M zote,sawa mjuziMombasa pabaya sana alafu watu wanaoishi huko wote marofa tu.