Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ramli chonganishi hii[emoji26]Ndoa ndoano
Hongera mkuu..... Mungu azid kukupa moyo wa uvimilivu na subraNa funga ndoa na mwanajami forum miezi ya karibuni. Njoo mishuhudie hatimae kijana anafungwa mazima. Intake.
Humu alitokea jamaa akasema ni PM . Kuongea mbili tatu akanipa ndugu yake. Kuyajenga kidogo hapa tuna 3 years kwenye mahusiano .
Naleo ndio ninapanga harusi mabele. So karibuni hapa Jamii Forums tusherekee . Unique flower. Amepata nyuki.