Jamani Kenya tena, wafanyabiashara waunda jeshi lao

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hawa sio wanajeshi wa Marekani,hao ni wafanyabiashara wa Kenya walioamua kuunda jeshi lao ili kujilinda na wakora pamoja na manyang'au wanaotaka kutumia mwanya wa uchaguzi kuvuna jasho la watu.Wakenya fanyeni kazi.
 
Halafu nawafaham hao jamaa ni kama wale wa maji maji huku kwetu. Hata uwapige risasi inakuwa unga unga tu. Kwa judo na karate ndio wenyewe. Si unaona, hawana silaha hata za jadi lakini wanalinda kitaa wala hakuna wa kukatiza
 
ahh hhahah
 
Ushamba ukizidi ni tatizo. Kwanini watumie sare za jeshi la nchi fulani, tena zikiwa na bendera ya hiyo nchi begani?
 
Kwa hiyo unaweza kutumia sare za jeshi la Kimarekani ovyo ovyo?

Kuna haja ya kuangalia upya biashara ya mitumba, marobota yanaaza kuja na vitu vya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…