Jamani Kibamia kitamu Asikwambie Mtu

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Habari zenu wapendwa,

Hapa nilipo niko nje ya bongo kisafari, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, sasa bwana ile nimefika tu hotelini si mnajua mambo yetu yale, nikanasa tundu bovu.

Sasa ile kufika ground play kila mtu kavaa jezi za game, hee kumbe mwenzangu yeye mkulima wa bamia bwana. Nikataka kitoke nje ya ground play na kujisemea bora kukutana na mkulima wa mihogo kuliko bamia.

Ile nataka kunyanyu mguu nitoke ulingoni si akanikamata bega, akaniwekea ulingoni bamia ya chukuchuku akachanganya na nyanya chungu, japo nyanya chungu ni chungu ila ziliongeza utamu kwenye bamia.

Sasa basi sijakaa sawa akaniwekea bamia la rosti lililochanganywa na bilinganya viazi ulaya pilipili hoho vitunguu maji na saumu karoti, wakati nakula pishi hilo la tatu nikamuuliza umeoa? Upishi huu wa bamia umeutoa wapi? Alinijibu kwa pishi la nne ambapo aliweka kunde bamia la kukatakata sles akachanganya na maharage mabichi na akaunga na karanga nilipomaliza kula pishi la nne sikuongea zaidi ya kulala kwa kuvimbiwa.

Jamani nawaasa msipende kuhukumu kitu kwa kukiangalia kwa nje tuu angalia utendaji maana mie hapa tangu mei mosi nakula bamia kila siku na wala halinikinai. Play ground swadakta
 
Mmmnh.... Kila la heri na hiyo Bamia..!!
 
Kweli hiyo bamia ilipikwa kitaalam
Kwa hiyo kwa sasa wewe na vibamia tu miogo hutaki tena eeeh

Hata muhogo siutaki tena bamia tamu bana sasa wakati wa kumeza latereza tuu hadi raha hahahahaaa
Mapishi yake nimeyakubali
 
Wapenzi wa vibamia inaaminika ni wapenda kuruka ukuta. Bamia inakuwa rahisi kuingia
 
Weka picha tafadhali

Hapa sina picha ya bamia mbichi na zilizopijwa ngoja aje yule mtaalam wa kurusha pocha sijui tangopori. Sijui ni tyta vile, subiria tuu utawwkewa.
 
Kasinde cha ukubwa gani? Vina tofautiana
 
Last edited by a moderator:
Huyu si ndo yule anatongozana kwenye magari.. Mara leo range, kesho jaguar, mara lincolin..huwa nasema hapa jf tupo na wagonjwa ila hatujui tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…