Jamani Kibamia kitamu Asikwambie Mtu

Jamani Kibamia kitamu Asikwambie Mtu

Kuna vibamia vingine kama misumari,kanachomaa mpaka unajuta,,lakin kuna vibamia vitamu haswaa alienacho awe moyonii
Vibamia vinatofautiana aisee kuna vitamu na vichunguuuuu
 
Nimekuhukumu hapo kwenye pishi la kuchanganya Bamia na Nyanya chungu, wewe Unatudanganya tu hapa! Umependa pishi la Nyanya Chungu, hiyo bamia ni kiungo tu hata mihogo ya Jang'ombe inaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa,

Hapa nilipo niko nje ya bongo kisafari, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, sasa bwana ile nimefika tu hotelini si mnajua mambo yetu yale, nikanasa tundu bovu.

Sasa ile kufika ground play kila mtu kavaa jezi za game, hee kumbe mwenzangu yeye mkulima wa bamia bwana. Nikataka kitoke nje ya ground play na kujisemea bora kukutana na mkulima wa mihogo kuliko bamia.

Ile nataka kunyanyu mguu nitoke ulingoni si akanikamata bega, akaniwekea ulingoni bamia ya chukuchuku akachanganya na nyanya chungu, japo nyanya chungu ni chungu ila ziliongeza utamu kwenye bamia.

Sasa basi sijakaa sawa akaniwekea bamia la rosti lililochanganywa na bilinganya viazi ulaya pilipili hoho vitunguu maji na saumu karoti, wakati nakula pishi hilo la tatu nikamuuliza umeoa? Upishi huu wa bamia umeutoa wapi? Alinijibu kwa pishi la nne ambapo aliweka kunde bamia la kukatakata sles akachanganya na maharage mabichi na akaunga na karanga nilipomaliza kula pishi la nne sikuongea zaidi ya kulala kwa kuvimbiwa.

Jamani nawaasa msipende kuhukumu kitu kwa kukiangalia kwa nje tuu angalia utendaji maana mie hapa tangu mei mosi nakula bamia kila siku na wala halinikinai. Play ground swadakta
Hahaha
 
aaaaaha, nimekumbukaaa! Wewe ndo yule wa crash za mahari eeeh! Teeeeh, umekutana na bamia ikakutendea haki, lolz
angalau sasa genye zimeisha, tangu mei mosi, siku kumi si haba.. Manake nyie single ladies (referring single ladies series) mnakaa na ugwadu mda mrefu.
Hahaha
 
Back
Top Bottom