DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
hayo mambo yote yamesababishwa na serikali ya maccmAisee itakua umekaa U.S.A sana, muda mrefu hujatembelea Kolomije, ni juzi tu hapa tumetoka kushuhudia mtoto anamfumania mama yake.
Dunia saivi imevaa mfuko mbadala mzee.
Naam mkuu, nimeitikia wito sema neno.
Naam mkuu, nimeitikia wito sema neno.
Hii siri natamani(gi) kuisema ila mizimu imenigomea kabisa, ngoja tuvute subira kidogo badala ya hiyo kitu unayovuta kwenye avatar.Uliomba ukapewa nini
Upo sawa kabisa, ni wanaume wachache sana wenye msimamo akitongozwa akatae, wapo kama mbwa wanavyofuata harufu ya chatu mpaka mdomoni kisha tumboni, itakuwa hata yeye alimpendaSs huoni kama hata mwanaume hana msimamo?! Ujasiri wa kumuoa rafiki ya aliekua mpenzi wako unautoa wapi kama sio dishi limeyumba
Halafu mnakuja kujuta mambo yalisha haribika na aibu juuBahati mbaya wanaume tuna madishi mawili (la juu & chini)
Bora liyumbe la juu utaokota makopo, likiyumba la chini analiwa hata kuku na mayai yake.
Haya mambo kwa sasa yamekua ya kawaida, kikubwa tumwombe Mungu atupe mioyo ya kutubu kweli na mwisho mwema.
Hivyo hivyoNa adui wa mwanaume ni mwanaume mwenzake. Ukisikia mtu kachapiwa mke ujue adui yake ni mwanaume[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wengine wanatafutaga tu kulogwa wawe machizi
hako kadada nako kanajikubalisha kabisa kanaolewa na mume wa rfk ake (kanguchiro kbsa)
mimi ningekua huyo mdada muibiwa mume
Ningeliaaaaa weeee Ningeliiaaaaaa weeee Ningeliiiaaaaa weeee kama FAIZA wa sugu
halafu nikimaliza kulia napenga makamasi pyeeeee then kesho yake
naenda zangu china kufata ma wiving ya wateja wangu.
Tobaaaafunge safari hata aende kariakoo kufunga mzigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliona shemeji kinyama cha hamu matokeo yake kakolezwa na nn sijui hukoUpo sawa kabisa, ni wanaume wachache sana wenye msimamo akitongozwa akataye, itakuwa hata yeye alimpenda
Halafu dhuruma ya hivyo wakioana huku mbele wanakuja juta vibaya sanaAliona shemeji kinyama cha hamu matokeo yake kakolezwa na nn sijui huko
Ndo zinapoishia ndio ila atazingizia karogwaHalafu dhuruma ya hivyo wakioana huku mbele wanakuja juta vibaya sana
Ss huoni kama hata mwanaume hana msimamo?! Ujasiri wa kumuoa rafiki ya aliekua mpenzi wako unautoa wapi kama sio dishi limeyumba
Hahahahaha dahUtamu mbaya sana dadangu , trust me mwanaume kigezo cha kwanza kinachomfanyaga amwoe mtu ni utamu yan kama rafiki yake ni mtamu kuliko yeye, Ameumia tayari, vitu vingine vyote wanawake huwa wanafanana ila utamu wa pussy aisee unatofautiana sana...Msema ukweli mpenz wa Mungu
Hahahahaha dah
DuuhWazima ,bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada
Na nyie kina dada acheni kusimulia mambo mazuri mnayofanyiwa na wapenzi wenu ona sasa yaliyomkuta ndugu wa rafiki yangu.
Iko hivi, rafiki yangu kanipa mkasa ambao umenigusa sana! Ana ndugu yake ambae aliku na mpenzi wake. Mapenzi kama yote, mahaba ya kihindi akawa anamsimulia rafiki yake kuhusu vinono anavyopewa na babe pia akawa anampa aongee naye kwa simu.
Hakujua kua yule rafiki alikua anatamani nayeye apate vile vitu alivyokua anapewa yeye. Basi akawa anajidai anamsapoti rafiki yake kumbe anatafuta namna ya kumpata shemeji yake.
Basi siku moja yule dada akaomba waende nae kwa shemeji yake bila wasiwasi akakubaliwa wakaenda wote walipofika kwa shemeji bi dada hakufanya kosa alihakikisha anachukua namba ya shemeji yake na ndio mchezo ulipoanzia.
Akaanza kuwasiliana na shemeji mapaka akapindua meza tena kwa kishindo kikuu! Ndugu wa rafiki yangu anakuja kushtuka anasikia rafiki yake anataka kuolewa na anaolewa na mpenzi wake.
Ushauri kama una rafiki yako usimwambie mazuri ya shemeji yake msimulie mabaya tu na kamwe usiwaweke karibu utaumia tu siku moja.
Anamfumania mama ake anafanyaje!Aisee itakua umekaa U.S.A sana, muda mrefu hujatembelea Kolomije, ni juzi tu hapa tumetoka kushuhudia mtoto anamfumania mama yake.
Dunia saivi imevaa mfuko mbadala mzee.