Jamani kina dada mna nini jamani kuwataka shemeji zenu?

Jamani kina dada mna nini jamani kuwataka shemeji zenu?

Ss huoni kama hata mwanaume hana msimamo?! Ujasiri wa kumuoa rafiki ya aliekua mpenzi wako unautoa wapi kama sio dishi limeyumba
Upo sawa kabisa, ni wanaume wachache sana wenye msimamo akitongozwa akatae, wapo kama mbwa wanavyofuata harufu ya chatu mpaka mdomoni kisha tumboni, itakuwa hata yeye alimpenda
 
Bahati mbaya wanaume tuna madishi mawili (la juu & chini)
Bora liyumbe la juu utaokota makopo, likiyumba la chini analiwa hata kuku na mayai yake.

Haya mambo kwa sasa yamekua ya kawaida, kikubwa tumwombe Mungu atupe mioyo ya kutubu kweli na mwisho mwema.
Halafu mnakuja kujuta mambo yalisha haribika na aibu juu
 
wanaume wengine wanatafutaga tu kulogwa wawe machizi

hako kadada nako kanajikubalisha kabisa kanaolewa na mume wa rfk ake (kanguchiro kbsa)

mimi ningekua huyo mdada muibiwa mume

Ningeliaaaaa weeee Ningeliiaaaaaa weeee Ningeliiiaaaaa weeee kama FAIZA wa sugu

halafu nikimaliza kulia napenga makamasi pyeeeee then kesho yake

naenda zangu china kufata ma wiving ya wateja wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sawa kabisa, ni wanaume wachache sana wenye msimamo akitongozwa akataye, itakuwa hata yeye alimpenda
Aliona shemeji kinyama cha hamu matokeo yake kakolezwa na nn sijui huko
 
Ss huoni kama hata mwanaume hana msimamo?! Ujasiri wa kumuoa rafiki ya aliekua mpenzi wako unautoa wapi kama sio dishi limeyumba

Utamu mbaya sana dadangu , trust me mwanaume kigezo cha kwanza kinachomfanyaga amwoe mtu ni utamu yan kama rafiki yake ni mtamu kuliko yeye, Ameumia tayari, vitu vingine vyote wanawake huwa wanafanana ila utamu wa pussy aisee unatofautiana sana...Msema ukweli mpenz wa Mungu
 
Utamu mbaya sana dadangu , trust me mwanaume kigezo cha kwanza kinachomfanyaga amwoe mtu ni utamu yan kama rafiki yake ni mtamu kuliko yeye, Ameumia tayari, vitu vingine vyote wanawake huwa wanafanana ila utamu wa pussy aisee unatofautiana sana...Msema ukweli mpenz wa Mungu
Hahahahaha dah
 
Hahahahaha dah

Juz nlikuwa na jamaangu akawa ananiambia wakati tupo tu na random conversation, eti anasemaje ? Utamu ndio kila kitu, sababu nlimuliza kuhusu relationship yake na dada mmoja me nlikuwa simwelewi, aliniambia wewe nikaushie me ndio najua yaliyomo, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣...We mwenyewe angalia mtaan kwenu unashangaa jamaa lihandsome kabisa mke wake sasa kawaida sana sasa basi ishue kama ile Ogopa sana aisee watu wanakuaga wamenasa. Me mpaka sikuiz nimeacha kuwauliza 🤣🤣🤣🤣🤣...
 
Ila kuna watu wana roho ngumu. Yaani Unamchukua mwananume wa rafiki yako au wa ndugu yako tena unadhamiria kabisa kufunga nae ndoa!!
Sioni furaha kwenye maisha yao
 
Wazima ,bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada

Na nyie kina dada acheni kusimulia mambo mazuri mnayofanyiwa na wapenzi wenu ona sasa yaliyomkuta ndugu wa rafiki yangu.

Iko hivi, rafiki yangu kanipa mkasa ambao umenigusa sana! Ana ndugu yake ambae aliku na mpenzi wake. Mapenzi kama yote, mahaba ya kihindi akawa anamsimulia rafiki yake kuhusu vinono anavyopewa na babe pia akawa anampa aongee naye kwa simu.

Hakujua kua yule rafiki alikua anatamani nayeye apate vile vitu alivyokua anapewa yeye. Basi akawa anajidai anamsapoti rafiki yake kumbe anatafuta namna ya kumpata shemeji yake.

Basi siku moja yule dada akaomba waende nae kwa shemeji yake bila wasiwasi akakubaliwa wakaenda wote walipofika kwa shemeji bi dada hakufanya kosa alihakikisha anachukua namba ya shemeji yake na ndio mchezo ulipoanzia.

Akaanza kuwasiliana na shemeji mapaka akapindua meza tena kwa kishindo kikuu! Ndugu wa rafiki yangu anakuja kushtuka anasikia rafiki yake anataka kuolewa na anaolewa na mpenzi wake.

Ushauri kama una rafiki yako usimwambie mazuri ya shemeji yake msimulie mabaya tu na kamwe usiwaweke karibu utaumia tu siku moja.
Duuh
 
Back
Top Bottom