Jamani kiuno kinaniua

Jamani kiuno kinaniua

MH,kiukweli swala lako nadhan tiba yake kila cku uwe unacheza tepu mbili za koff olomide na fally ipupa kisipo pona ntafute?
 
Pole sana,natumai JF Doctor watakusaidia+fanya maombi.
 
[h=2]Dawa ya Kiuno[/h]
1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa.
2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa.
3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba.
4.Maji chupa moja.
unachemsha pamoja .
Matumizi: Robo gilasi kutwa mara tatu.​
 
Jaribu phiotherapy au tafuta tiba badili ya viungo
 
Ndugu zangu ninatatizo la kiuno kuuma huu mwaka wa 5 sasa,nimepima kila kitu lkn ugonjwa hauonekani naombeni msaada jamani nateseka sn.

Nadhani ingekuwa poa zaid kama hii thread ungeipeleka katika jukwaa la JF Doctor.
 
Back
Top Bottom