Jamani ku-share huku kunakubalika?

Jamani ku-share huku kunakubalika?

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
 
Ao wanajidanganya tu, eti wanapendana...Kupendana gani huko kujiletea maradhi.

Yani cjui niseme nini....Kama kupenda ndo uchafu, basi bora nikose penzi.
 
Ndio, uswazi tunashare hadi dodoki la kuogea.
 
:lol:😛hoto: kinachokufaa na mpenzio sio lazma kiwafae wengine. mbona kuna mambo mengine ya hatari zaidi ya hayo hufanywa na wapenzi? fanyeni na mama erick kinachowafaa na kuwapendeze nyie, kuna couple hazifanyi hata lip kiss, na wako fine tu. ya kina baba enock na mkewe waachieni wenyewe
 
Kama mna-share tendo la ndoa, mate ya mabusu, nini kimebaki cha kukiogopa au kukionea kinyaa? Kwangu, hakuna! Yote ni ruksa, hata mswaki, dodoki, nk
 
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS

Mi sioni tatizo couples kushare vitu kama hivyo. Mbona wanafanya vitu nasty sana itakuwa ku-share mswaki au Taulo jamani...Kama watu wanapiga denda kila siku ndo watadhurika wakishare mswaki??

..Mwanaume huyo kuzama mwadui ndo raha yake au mwanamke huyo kula koni ya bakhressa ndo amani yake ku-share mswaki ndo kutawadhuru?? Au waki-do wanaenda kavu kavu ndo waki-share chupi au boxer au taulo ndo watadhurika...?

Mi nadhani kama wanaaminia sana na wameamua kuifanya hiyo ndio style ya maisha yao then na wafanye tu..!!
 
:lol:😛hoto: kinachokufaa na mpenzio sio lazma kiwafae wengine. mbona kuna mambo mengine ya hatari zaidi ya hayo hufanywa na wapenzi? fanyeni na mama erick kinachowafaa na kuwapendeze nyie, kuna couple hazifanyi hata lip kiss, na wako fine tu. ya kina baba enock na mkewe waachieni wenyewe

hebu na mimi nianze
 
Nilishtuka kidogo.... Kushare nini tena (was thinking...lol)

Hivo vingine ni makubaliano na mazoea I think... Ila just thinking yaani Mzee atoke amevaa kufuli la kike.... Siwezi kua comfy kabisa! Dah'
 
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
Nguo zenu zipi hizo.... ? Weka wazi kidogo ni...comment.
 
hebu na mimi nianze
Anza na mrija...lol
Binafsi naona kuna vitu naweza kushea nae bila tabu tena it feels so romantic, vingine sijawahi hata kuwaza (Kama mswaki)
 
Nilishtuka kidogo.... Kushare nini tena (was thinking...lol)

Hivo vingine ni makubaliano na mazoea I think... Ila just thinking yaani Mzee atoke amevaa kufuli la kike.... Siwezi kua comfy kabisa! Dah'

mhuuh!
 
mambo vip wana-jf. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama miswaki, taulo, nguo zetu zile, kijiko kimoja wakati wa kula. Na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
Best regards

hakuna ubaya kushare vitu. lakini inapendeza zaidi kama kila mmoja atakuwa na vya kwake bila mipaka. Nina maana hakutakuwa na sheria ya kutogusa vya mwenzio ingawa vitatunzwa pamoja, hata kama mnashare mambo meingine kama busu, koni n.k.
 
Anza na mrija...lol
Binafsi naona kuna vitu naweza kushea nae bila tabu tena it feels so romantic, vingine sijawahi hata kuwaza (Kama mswaki)

Happy New Year wakwetu.....
Hebu fikiria ndio mmetoka kula makande na mboga za majani....sasa ni wakati wa kupiga mswaki......
inakaaje hapo.....

Back
Top Bottom