Jamani ku-share huku kunakubalika?

Jamani ku-share huku kunakubalika?

Happy New Year wakwetu.....
Hebu fikiria ndio mmetoka kula makande na mboga za majani....sasa ni wakati wa kupiga mswaki......
inakaaje hapo.....

wa kwetu, heri ya mwaka mpya na kwako pia!
Aisee staki hata kufikiria kabisa...yuuuuuuk! Bora chengine, mswaki bado aisee...
 
Happy New Year wakwetu.....
Hebu fikiria ndio mmetoka kula makande na mboga za majani....sasa ni wakati wa kupiga mswaki......
inakaaje hapo.....

Mtapiga mswaki kwa kutumia tongue kiss makande na mboga za majani zote zinasafishika vizuri kwenye kinywa...
 
bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....

Ulimi hauchakuri chakuri kama mswaki kwanza!
 
bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....

Hhahhaaa....Hadi makoh*zi...yaaaaick!..
 
mambo mengine mnaweza mkafanya mkaonekana kama vile mnavuta bangi, sharing isiwe too much bwana.
 
bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....

Tobaa...kumbe watu wanataka hadi kushea mswaki....yuuuuk...
 
Kimey ndo gia gani tena hizo za kunicheka ndugu yangu...
Nakutafuta kwa udi na uvumba.. Ntafurahi sana tukikutana
mlimani kwa mama mchungaji tukasali....
Nipo bibie haya utanikuta mlimani, Happy New Year
 
bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....

Heri ya Mwaka bi dada!
sasa mswaki na ile kitu inatofauti? lol
 
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
Heshima yako Baba Erick,
Hii inategemea mmezoeshana kushea vitu gani,
But hilo na nguo zetu zile mmmh! sidhan km imekaa vizuri kwa mwanamme kutoka na nguo ya yf!
Hata la mswaki mmh!kiafya sina uhakika km linakubalika au la!
 
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS

Mswaki... Hapana!!!.
Taulo... Nothing wrong here. Kwa sababu kama ni ugonjwa wa ngozi, tumeshaambukizana tangu huko kitandani.
Kijiko... Hakuna sababu ya ku-share. You can eat from the same serving plate at home, though (You will look weird in public places).
The best I like to share is my bed and shower room( You know, rub my back and I rub yours.)
 
sasa chupi mna share ki vipi????

kidume unavaa ya mkeo au?

labda msuli naona lol
 
Labda mwanamke avae boxer yangu. Dume kuvaa chupi ya mwanamke is a man law violation!

mimi akishaivaa tu hiyo boxer nampa moja kwa moja
siivai tena.......

kuna watu ku share toilet tu na mtu hawawezi sembuse mswaki na boxer??????/
 
Ila Boss what is wrong with sharing your boxer if u can sleep with her without using a condom au u can play with her private parts using your hands??? eeeh.... unless hufanyi hayo.
 
mimi akishaivaa tu hiyo boxer nampa moja kwa moja
siivai tena.......

kuna watu ku share toilet tu na mtu hawawezi sembuse mswaki na boxer??????/

Sharing a toothbrush is unhygienic. The rest are within the realm of okay.
 
Back
Top Bottom