Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Yak...ptuu....
Love is blind.
hahahaahasiku akikataa kuchangia vitu na mimi ndo mwisho.. :ballchain:
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
:lol:😛hoto: kinachokufaa na mpenzio sio lazma kiwafae wengine. mbona kuna mambo mengine ya hatari zaidi ya hayo hufanywa na wapenzi? fanyeni na mama erick kinachowafaa na kuwapendeze nyie, kuna couple hazifanyi hata lip kiss, na wako fine tu. ya kina baba enock na mkewe waachieni wenyewe
Nguo zenu zipi hizo.... ? Weka wazi kidogo ni...comment.Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
Anza na mrija...lolhebu na mimi nianze
hahahaaha
Nilishtuka kidogo.... Kushare nini tena (was thinking...lol)
Hivo vingine ni makubaliano na mazoea I think... Ila just thinking yaani Mzee atoke amevaa kufuli la kike.... Siwezi kua comfy kabisa! Dah'
mambo vip wana-jf. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama miswaki, taulo, nguo zetu zile, kijiko kimoja wakati wa kula. Na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
Best regards
Anza na mrija...lol
Binafsi naona kuna vitu naweza kushea nae bila tabu tena it feels so romantic, vingine sijawahi hata kuwaza (Kama mswaki)