Denda? Saaaana tu; lakini ku-share mswaki hapana!!! taulo, i don' mind...lakini kale kanguo ke2 ka ndani kale....no, tena BIG NO! by de way, we jidume unavaa kale kanguo ka ndani ka mkeo halafu unapata ajali unapelekwa hospital, kuvuliwa nguo unakutwa umevaa kale kaguo ambako kwa nyuma ni kauzi tu kamepita kati kati ya chakula cha mafirauni!!! baba mkwe wako au mtu unayemheshimu anaona hako kaguo kakitolewa mwilini mwako!!!!!! Unafikiri atazani umevaa ya mkeo au wata-conclude kwamba jamaa ni bwabwa?!