BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
mijino mingine imekaa tu vibaya, inakatiza yenyewe pale kwenye nanihii, ndo hapo unaona uchungu wakeB. Berry umenichekesha kwa ukeli. Hyo ndo problem ya kufake mapenzi kunako six by sax. But sijang"atwa mpenzi. Kung"atwa tena lol. Nimecheeeka
Phina,
kupiga mswaki - kunyonya ndude, na kukuna nazi - chumvini.
Nilishtuka kidogo.... Kushare nini tena (was thinking...lol)
Hivo vingine ni makubaliano na mazoea I think... Ila just thinking yaani Mzee atoke amevaa kufuli la kike.... Siwezi kua comfy kabisa! Dah'
Afrodenzi nimeipenda hii "indicator" yako khah!siku akikataa kuchangia vitu na mimi ndo mwisho.. :ballchain:
mapenz matamu ukipata mtu msafi.......munaweza kushare kila kitu endapo mtakubaliana wote na kama mwenzio hataki wala usimlazimishe
Taulo tu taabu sembuse toothbrush? No no no siwezi
Kinachonishangaza kwenye mada hii ni wingi wa wanaopendakulambwa au kulamba chumvi! Kuna tofauti yoyote ya uchafu huu na hule wakutumia mlango wa pili?!
Sharing is Caring - Maxence Mello
mi nashangaa sana piaDena, mtu akikuzamia chumvini utaona kinyaa au utapiga mayowe kwa furaha?? Kwaiyo nae aone kinyaa asikupe raha sio? Unataka kusema blowjob humpi mwenzako? Hapo unaonaga kinyaa au? Taulo na miswaki ni mambo madogo sana katika couple sharing! Sasa mkisafiri mkalala hoteli au gesti inayotoa taulo moja tu, hutaoga? acha ushamba wa kimbulu bana!
Taratibu bana, unanifanya nacheka kwa loud spika wakati mkoloni yupo hapa karibu...lol. Sipendi ndio mana namkataza.
Au utamsikia tu,"i'm coming,i'm coming" huku mikono yake imeshika kichwa chako mpaka wakati mwingine nywele zinatoka!
Km umeweza kushare nae mwili na penzi ukampa mkagusana mpk ......denda akakupa cha ajabu nini hapo?huoni kuwa uchafu unaufanya?mambo mengne mnajitia kinyaaaa wkt mengne mnapenda .
"...atachana na baba yake na mama yake ataambatana na mume wake nao wamekuwa MWILI MMOJA..."
Can someone say AMEEEEEEEEEEEEEEN?
wenzio wanaume wanavaa tena nimeshawahi ona kwenye daladala mwanaume suruali imemshuka mpk tumeona lesi za kwenye pindo ya chup.
Baba mkwe nae atakuja huku kavaa chupi la mkewe, itakuwa ngoma droo, sanasana mkwe atawaza kumbe na hawa kama sisi!Denda? Saaaana tu; lakini ku-share mswaki hapana!!! taulo, i don' mind...lakini kale kanguo ke2 ka ndani kale....no, tena BIG NO! by de way, we jidume unavaa kale kanguo ka ndani ka mkeo halafu unapata ajali unapelekwa hospital, kuvuliwa nguo unakutwa umevaa kale kaguo ambako kwa nyuma ni kauzi tu kamepita kati kati ya chakula cha mafirauni!!! baba mkwe wako au mtu unayemheshimu anaona hako kaguo kakitolewa mwilini mwako!!!!!! Unafikiri atazani umevaa ya mkeo au wata-conclude kwamba jamaa ni bwabwa?!