wa kwetu, heri ya mwaka mpya na kwako pia!Happy New Year wakwetu.....
Hebu fikiria ndio mmetoka kula makande na mboga za majani....sasa ni wakati wa kupiga mswaki......
inakaaje hapo.....
Mtapiga mswaki kwa kutumia tongue kiss makande na mboga za majani zote zinasafishika vizuri kwenye kinywa...Happy New Year wakwetu.....
Hebu fikiria ndio mmetoka kula makande na mboga za majani....sasa ni wakati wa kupiga mswaki......
inakaaje hapo.....
Mtapiga mswaki kwa kutumia tongue kiss makande na mboga za majani zote zinasafishika vizuri kwenye kinywa...
Ulimi hauchakuri chakuri kama mswaki kwanza!bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....
bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....
Tobaa...kumbe watu wanataka hadi kushea mswaki....yuuuuk...bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....
Nipo bibie haya utanikuta mlimani, Happy New YearKimey ndo gia gani tena hizo za kunicheka ndugu yangu...
Nakutafuta kwa udi na uvumba.. Ntafurahi sana tukikutana
mlimani kwa mama mchungaji tukasali....
Heri ya Mwaka bi dada!bora hiyo haiendi moja kwa moja kama mswaki.....
kwenye tongue kiss mbona kunaliwa vitu vingi tu........sio mswaki lakini.....
Heshima yako Baba Erick,Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
Heri ya Mwaka bi dada!
sasa mswaki na ile kitu inatofauti? lol
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
sasa chupi mna share ki vipi????
kidume unavaa ya mkeo au?
labda msuli naona lol
Labda mwanamke avae boxer yangu. Dume kuvaa chupi ya mwanamke is a man law violation!
sasa chupi mna share ki vipi????
kidume unavaa ya mkeo au?
labda msuli naona lol
Ila Boss what is wrong with sharing your boxer if u can sleep with her without using a condom au u can play with her private parts using your hands??? eeeh.... unless hufanyi hayo.mimi akishaivaa tu hiyo boxer nampa moja kwa moja
siivai tena.......
kuna watu ku share toilet tu na mtu hawawezi sembuse mswaki na boxer??????/
mimi akishaivaa tu hiyo boxer nampa moja kwa moja
siivai tena.......
kuna watu ku share toilet tu na mtu hawawezi sembuse mswaki na boxer??????/