Ila Boss what is wrong with sharing your boxer if u can sleep with her without using a condom au u can play with her private parts using your hands??? eeeh.... unless hufanyi hayo.
Sharing a toothbrush is unhygienic. The rest are within the realm of okay.
Ila Boss what is wrong with sharing your boxer if u can sleep with her without using a condom au u can play with her private parts using your hands??? eeeh.... unless hufanyi hayo.
nope...
kitu chochote kinachogusa ngozi yako
chupi,soksi na kadhalika usi share na mtu.....
sio tu nguo
hata mtu yupo na bukta kulala lala kwenye makochi na jasho lake sio vizuri....
hata sebuleni tunapaswa ku avoid kugusisha ngozi zetu moja kwa moja na vitu mfano viti vinavyopokea unyevu nyevu
na watu tofauti tofauti......ndo maana kuna familia kuna sebule ya familia na ingine ya wageni....
That's unrealistic if you are in a relationship! And if that's the case then don't even sleep together in the same bed.
Are you a hypochondriac?
That's extreme.
nope...
kitu chochote kinachogusa ngozi yako
chupi,soksi na kadhalika usi share na mtu.....
sio tu nguo
hata mtu yupo na bukta kulala lala kwenye makochi na jasho lake sio vizuri....
hata sebuleni tunapaswa ku avoid kugusisha ngozi zetu moja kwa moja na vitu mfano viti vinavyopokea unyevu nyevu
na watu tofauti tofauti......ndo maana kuna familia kuna sebule ya familia na ingine ya wageni....
well nafikiri niseme
ninapozungumzia sebule simaanishi wapenzi
namaanisha zaidi watu tofauti majumbani mwetu
Hii mbona kawaida tu????? If you can kiss, make love, touch private parts by tongues after making loves, sucking, blow jobs etc, what is so difficult in sharing a glass or a spoon? Ndo mautamu yenyewe hayo!Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
Inaelekea una kinyaa sana..its true vitu vya kugusana gusana sio vizuri. But hapa tunaongelea kwa case ya couples...so hata siku akivaa t-shirt yako,huchukui tena coz of majasho....wewe na patner wako hakuna kulishana chakula??..

Ku-share mswaki.....eeeeeewww
Inaelekea una kinyaa sana..its true vitu vya kugusana gusana sio vizuri. But hapa tunaongelea kwa case ya couples...so hata siku akivaa t-shirt yako,huchukui tena coz of majasho....wewe na patner wako hakuna kulishana chakula??..
What about oral sex? :lol:
Anachozungumzia Boss ni unrealistic! Kwa sababu kama mtu hupendi majasho basi hata mapenzi usifanye na mtu bali ufanye mwenyewe!
Tena anaonekana Ana kinyaa kibaya sana! Mapenzi hatayaweza kwa style Hiyo!
t shirts its ok
kulishana its ok
nguo za nje kama msuli,kanga its ok
nimefafanua hapo kuwa sizungumzii wapenzi
nazungumzia in general kwenye nyumba mnapoishi na watu tofauti....
vipo vitu wewe na mpenzi wako its okaay
but sio kila mtu,
kuna nyumba zina mashemeji,ma house girl/boy na kadhalika....
sasa kilamtu awe free kuweka jasho lake kwenye makochi?????????