Jamani kubet kunanitesa sana

Haujafirisika mkuu. . Anakutunzia tu siku ukiamua kuzichukua unazichukua tu
 
Pole sana Mkuu, unatakiwa ubeti kwa akili sana, nakumbuka wakati naanza kubeti nilipigwa hela mpaka nikazoea sababu kuu ni kuweka timu nyingi zaidi ya 15, baadae nikabadilika nikawa nacheza mechi tano tu, nikawa nampiga muhindi, sasa hivi haipiti wiki bila kumpiga laki tatu, huwezi amini mechi za Europa nimempiga meridian shilingi laki moja kwa 200
 
Laki kwa 200 mkuu.?
That means odds zaidi ya 500..?
 
tangu nianze huu mchezo sujawahi kurudisha hata mia nimefiriska kutokana na huu mchezo wa kubet
Unacheza bet gani?ukitaka kula pesa za beting kiulaini cheza jackpot.mechi kumi na tatu ukicheza ukipata kuanzia mechi kumi pesa inaingia mfukoni ukipatia mechi tisa next beting unabet bure.huku kutamu watu tunagonga millions kila week kwa buku tu
 
SASA MKUU ULISHNDWA KUTANDIKA

Liver cap win
Madrid win
Chelsea win
Leicester win
Man city cap win

Halafu ungetupia milion moja, unazma sm unalala hahaha.. Ungekuwa usharudsha pesa yako, tatzo hambet kistaarabu mnataka mshnde kingi dau ndogo
 
Unacheza bet gani?ukitaka kula pesa za beting kiulaini cheza jackpot.mechi kumi na tatu ukicheza ukipata kuanzia mechi kumi pesa inaingia mfukoni ukipatia mechi tisa next beting unabet bure.huku kutamu watu tunagonga millions kila week kwa buku tu
Eti tunagonga millions kila wiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu, nitakuche kuwe unaniuzia odds na mimi nimpige Muhindi... 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…