Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiweke bondi mwenyewe.tangu nianze huu mchezo sujawahi kurudisha hata mia nimefiriska kutokana na huu mchezo wa kubet
Acha maneno weka mkeka wa leo nione.tangu nianze huu mchezo sujawahi kurudisha hata mia nimefiriska kutokana na huu mchezo wa kubet
Laki kwa 200 mkuu.?Pole sana Mkuu, unatakiwa ubeti kwa akili sana, nakumbuka wakati naanza kubeti nilipigwa hela mpaka nikazoea sababu kuu ni kuweka timu nyingi zaidi ya 15, baadae nikabadilika nikawa nacheza mechi tano tu, nikawa nampiga muhindi, sasa hivi haipiti wiki bila kumpiga laki tatu, huwezi amini mechi za Europa nimempiga meridian shilingi laki moja kwa 200
Unacheza bet gani?ukitaka kula pesa za beting kiulaini cheza jackpot.mechi kumi na tatu ukicheza ukipata kuanzia mechi kumi pesa inaingia mfukoni ukipatia mechi tisa next beting unabet bure.huku kutamu watu tunagonga millions kila week kwa buku tutangu nianze huu mchezo sujawahi kurudisha hata mia nimefiriska kutokana na huu mchezo wa kubet
Eti tunagonga millions kila wiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unacheza bet gani?ukitaka kula pesa za beting kiulaini cheza jackpot.mechi kumi na tatu ukicheza ukipata kuanzia mechi kumi pesa inaingia mfukoni ukipatia mechi tisa next beting unabet bure.huku kutamu watu tunagonga millions kila week kwa buku tu
Ndio Mkuu,Laki kwa 200 mkuu.?
That means odds zaidi ya 500..?
Mkuu, nitakuche kuwe unaniuzia odds na mimi nimpige Muhindi... 😀Pole sana Mkuu, unatakiwa ubeti kwa akili sana, nakumbuka wakati naanza kubeti nilipigwa hela mpaka nikazoea sababu kuu ni kuweka timu nyingi zaidi ya 15, baadae nikabadilika nikawa nacheza mechi tano tu, nikawa nampiga muhindi, sasa hivi haipiti wiki bila kumpiga laki tatu, huwezi amini mechi za Europa nimempiga meridian shilingi laki moja kwa 200
Hii app ganiNdio Mkuu, View attachment 696972
Wala siwezi kukuuzia, huwa natafuta tu ikitokea basi nashinda muda mwingine pesa sio chochote kwenye maisha, tutasaidiana tuMkuu, nitakuche kuwe unaniuzia odds na mimi nimpige Muhindi... 😀
MeridianHii app gani
OK and ikinisumbua takutafuta broMeridian
Rapperswill na Schaffhausen correct score 1_2OK and ikinisumbua takutafuta bro