Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

Kule kifungoni hapafai full kulishwa maharage yenye wadudu, kunguni kibao

Pole ndugu......natumai leo umekula nyama! Ila nawe upunguze ukichwa ngumu, mamod sasa hivi wana marungu makaliii.....yaani kama Paw huyo sijui alishatafuna pilipili gani aisee!!!
 
Pole ndugu......natumai leo umekula nyama! Ila nawe upunguze ukichwa ngumu, mamod sasa hivi wana marungu makaliii.....yaani kama Paw huyo sijui alishatafuna pilipili gani aisee!!!

Nyama leo hata hailiki maana sijamuona my wife SL. Hawa mods utadhani wana kamba ya sumaku kwa ajili ya kunyongea raia
 
Nyama leo hata hailiki maana sijamuona my wife SL. Hawa mods utadhani wana kamba ya sumaku kwa ajili ya kunyongea raia

Labda alikuwa amekufata selo.......we msubirie tu!! Hahahah, wanakusikia ujue? Shauri yako!
 
kameturn 16

Sweet sixteen, kwi kwi kwi, teh teh teh. Pole sana, nakuelewa unachokisema.

Nilipitia huko, nashukuru wangu wamevuka salama huko, sasa hivi hata wakichuuza TiGo kazi kwao na husbands na wives zao, ni watu wazima.
 
Daah babu DC mie ndio mana ukipotea huwa nakumiss sana nimekugongea like kimoyo moyo,

maneno ya ukweli sana, ngumu kumeza ila Bishanga ajitahidi kusukumia hata na maji... Amesahau kuwa goes around comes around, wahindi huwa wanaita Karma, ukitenda mema utalipwa mema na ukitenda mabaya utalipwa mabaya, lini, wapi na kwa style ipi nobody knows! Nakubaliana na wewe babu DC kuwa Bishanga hana budi kuvumilia kipindi hiki kigumu kwake mpaka pale kitakapopita, hana cha kufanya zaidi sana amrudie Mungu wake na aungame makosa yake na asisahau kufanya maombi kwaajili ya binti!

Mie sijambo kabisa, nifikishie salamu kwa bibi mpendwa!
mmenipania eh mpaka mnaingiza mambo ya vedas za wahindi?
 
Sema!!! nini kwani uongo??? Acha watu wale vitu wewe punguza unoko bana aaaaaahhhhh we dingi vipi mbona unataka kuleta za kuleta ha ha ha ha ha ha sijaandika mimi bana ni mtoto wangu ndo kanisaidia kuandika
sikununulii tena valuu,lol!
 
Me too dear. Naona Bishanga anataka kuleta unoko kwa Koku acha watu wajilie vitu shida iko wapi bana??? Bishanga kuwa mpoleeeeeeeeeeeee
tukikutana kwenye ile kona yetu ama zako ama zangu!
 
Mhabarishe huyo......stage huwa hazirukwi ati!! Lol.......ila na we ndo nini kuwa unapotea potea bila hata kuaga? Muite basi na MJ1 angalau naye aje nimuone!
kipipi nawewe unaunga tela? Ntakuchapa.
 
Hahahah.....we dingi tulia, mbona unapasuka kichwaaa??? Jiangalie vizuri tu.....miezi michache tu ilopita ulilalamika last born wako pasua kichwa, na sasa hivi tena binti yako......whats wrong with you dude??
fixed point kasema na nanukuu...' kila mtoto ana challenges zake'.
 
Mkuki kwa nguruwe......., Bishanga unakumbuka kale kabinti ka mzee Rutakyamirwa ulivyo kuwa unakasumbua mpaka mdingi wake akakaamisha makazi?
hurrrrrreeeee pole mkuu ,za segerea? Ulikosa nini? Hebu mPM sweetlady,aliumia na kukumiss kweli.Ujue nikwambie? She truly and absolutely loves you!haya ya kabinti nitapambana nayo.Ruta?
 
hurrrrrreeeee pole mkuu ,za segerea? Ulikosa nini? Hebu mPM sweetlady,aliumia na kukumiss kweli.Ujue nikwambie? She truly and absolutely loves you!haya ya kabinti nitapambana nayo.Ruta?

Dah kaka nashukuru sana, ujue kuna kaneno nilikatumia kwenye jukwaa la siasa ikawa balaa nikashtukia mamwera hao mlangoni direct segerea. My lovely Sweetylady nilimiss sana ngoja niPM sasa hivi maana wakati natoka kifungoni alikuwa ameshalala tayari
 
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!

He Bishanga Binti yetu kafanya nn tena ?
Nimeona kabinti kengine kako 19 yrs old kamekunywa sumu baada ya kutundikwa ujauzito hiyo ni jmos iliyopita,ila akmesalimika kako hosp.
Wanahitaji malezi yaliyo makini sana
 
Dah kaka nashukuru sana, ujue kuna kaneno nilikatumia kwenye jukwaa la siasa ikawa balaa nikashtukia mamwera hao mlangoni direct segerea. My lovely Sweetylady nilimiss sana ngoja niPM sasa hivi maana wakati natoka kifungoni alikuwa ameshalala tayari

Hahaha ulienda huko Siasa kutafuta nini wakati unajijua huwezi kuvumilia hii mambo inayoendelea hapa TZ:juggle:
 
Hahaha ulienda huko Siasa kutafuta nini wakati unajijua huwezi kuvumilia hii mambo inayoendelea hapa TZ:juggle:

Yaani we acha tu nimetoka zangu chit chat nikapitia kidogo kwenye kajukwaa ka siasa nikakuta mdau katundika uzi unaomhusu mkulu si nikatia maji balaa likaanzia pale. Hujambo lakini FL
 
kweli kabisa rafiki.
wangu alianza shule na 2 years, sababu alikuwa anamlilia kakake akiwa anaenda shule. sasa ana 3 years, nikiangalia homework zake hata sijui walimu wanataka nini kwa watoto wetu.............. mimi nilitaka akacheze tu lakini wananiambia ni mzuri sana darasani so wameamua aendelee tu badala ya kucheza.
Mkwe unanizeeshea wanangu kabla ya umri wao......
 
Off topic,
Hivi Mkonge hotel bado ipo?

Leo nimeikumbuka sana hii hoteli.

Mhhhhh Bro....Mbona huu mtego?

Nasikia bado ipo ila umefuria kwa sana.....Nimeambiwa vijana wa kisasa wanasumbua na Tanga Beach Resort (halafu nasikia hii ni home kwa mtoto wa kigogo) na Nyumbani Hotel (niliambiwa iko jengo ambalo zamani ilikuwa RTC)!!

Una umpango wa kufika Chuda hivi karibuni?

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom