Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kule kifungoni hapafai full kulishwa maharage yenye wadudu, kunguni kibao
Pole ndugu......natumai leo umekula nyama! Ila nawe upunguze ukichwa ngumu, mamod sasa hivi wana marungu makaliii.....yaani kama Paw huyo sijui alishatafuna pilipili gani aisee!!!
Nyama leo hata hailiki maana sijamuona my wife SL. Hawa mods utadhani wana kamba ya sumaku kwa ajili ya kunyongea raia
kameturn 16
mmenipania eh mpaka mnaingiza mambo ya vedas za wahindi?Daah babu DC mie ndio mana ukipotea huwa nakumiss sana nimekugongea like kimoyo moyo,
maneno ya ukweli sana, ngumu kumeza ila Bishanga ajitahidi kusukumia hata na maji... Amesahau kuwa goes around comes around, wahindi huwa wanaita Karma, ukitenda mema utalipwa mema na ukitenda mabaya utalipwa mabaya, lini, wapi na kwa style ipi nobody knows! Nakubaliana na wewe babu DC kuwa Bishanga hana budi kuvumilia kipindi hiki kigumu kwake mpaka pale kitakapopita, hana cha kufanya zaidi sana amrudie Mungu wake na aungame makosa yake na asisahau kufanya maombi kwaajili ya binti!
Mie sijambo kabisa, nifikishie salamu kwa bibi mpendwa!
sikununulii tena valuu,lol!Sema!!! nini kwani uongo??? Acha watu wale vitu wewe punguza unoko bana aaaaaahhhhh we dingi vipi mbona unataka kuleta za kuleta ha ha ha ha ha ha sijaandika mimi bana ni mtoto wangu ndo kanisaidia kuandika
fixed point kasema na nanukuu...' kila mtoto ana challenges zake'.Hahahah.....we dingi tulia, mbona unapasuka kichwaaa??? Jiangalie vizuri tu.....miezi michache tu ilopita ulilalamika last born wako pasua kichwa, na sasa hivi tena binti yako......whats wrong with you dude??
hurrrrrreeeee pole mkuu ,za segerea? Ulikosa nini? Hebu mPM sweetlady,aliumia na kukumiss kweli.Ujue nikwambie? She truly and absolutely loves you!haya ya kabinti nitapambana nayo.Ruta?Mkuki kwa nguruwe......., Bishanga unakumbuka kale kabinti ka mzee Rutakyamirwa ulivyo kuwa unakasumbua mpaka mdingi wake akakaamisha makazi?
hurrrrrreeeee pole mkuu ,za segerea? Ulikosa nini? Hebu mPM sweetlady,aliumia na kukumiss kweli.Ujue nikwambie? She truly and absolutely loves you!haya ya kabinti nitapambana nayo.Ruta?
nimekuuliza kwa sababu (bush doktas) wanasema ukifanya ile maneno umelewa eti uwezekano wa kupata baby girl ni mkubwa.
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
Dah kaka nashukuru sana, ujue kuna kaneno nilikatumia kwenye jukwaa la siasa ikawa balaa nikashtukia mamwera hao mlangoni direct segerea. My lovely Sweetylady nilimiss sana ngoja niPM sasa hivi maana wakati natoka kifungoni alikuwa ameshalala tayari
Hahaha ulienda huko Siasa kutafuta nini wakati unajijua huwezi kuvumilia hii mambo inayoendelea hapa TZ:juggle:
Mkwe unanizeeshea wanangu kabla ya umri wao......kweli kabisa rafiki.
wangu alianza shule na 2 years, sababu alikuwa anamlilia kakake akiwa anaenda shule. sasa ana 3 years, nikiangalia homework zake hata sijui walimu wanataka nini kwa watoto wetu.............. mimi nilitaka akacheze tu lakini wananiambia ni mzuri sana darasani so wameamua aendelee tu badala ya kucheza.
Off topic,
Hivi Mkonge hotel bado ipo?
Leo nimeikumbuka sana hii hoteli.