Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

ndi nkuba bishanga abashaija nkanyampila olwazi lwayatika! Ngendelele kwebuga?

Hahahahahahahhahahahah,

Hakuna kitu hapa,

Bishanga Bashaija wa ukweli kweli hawezi kulia lia kama wewe....halafu issue yenyewe ndogo...

Analipwa alichowafanya watoto wa wenzie....What's the problem??

Babu DC!!
 
Hahahahahahahhahahahah,

Hakuna kitu hapa,

Bishanga Bashaija wa ukweli kweli hawezi kulia lia kama wewe....halafu issue yenyewe ndogo...

Analipwa alichowafanya watoto wa wenzie....What's the problem??

Babu DC!!
DC bana!
By the way na wewe una mabinti?
 
Dah kaka nashukuru sana, ujue kuna kaneno nilikatumia kwenye jukwaa la siasa ikawa balaa nikashtukia mamwera hao mlangoni direct segerea. My lovely Sweetylady nilimiss sana ngoja niPM sasa hivi maana wakati natoka kifungoni alikuwa ameshalala tayari
JLS zamani nikichangia sana,lakini baadae nikawa napata kizunguzungu,pasua kichwa kule,enzi hizo nilikuwa na ubavu wa kujibizana kwa hoja na kina Field Marshall ES.Siku hizi huwa naingia for the purpose ya kudadis na kuperuzz basi,ni kugumu sana aisee,waachie wenyewe sisi tujilie burdan huku.
 
Tatizo unataka kumlea ameshakuwa hapo ndo wazai tunapokosea alitakiwa alelewe tangu mdogo na hiyo ingemjenga hata angekuwa mkubwa angeendelea kukumbuka malezi ya utotoni lakini umemlea kwa deko tangu utoto leo ndo unataka umlee katika maadili hapo umechelewa.Lea mwanao tangu mdogo katika njia unayotaka akue hapo akikua hataiacha.
 
Kongosho bana...

"..vitu vidogodogo akawa hamuelewi..." anyways.. Aliangalia matembezi au, alidevop mapozi flani,ama alishuku tu... Wajua kuna watu kupitia hii thread kesho wanaweza kupeleka watoto wao hospitali kucheki..

Hahahahaaaaa uwiiiii ni kweli lakini maana haya mambo yanashtuaaa!!!!
 
He Bishanga Binti yetu kafanya nn tena ?
Nimeona kabinti kengine kako 19 yrs old kamekunywa sumu baada ya kutundikwa ujauzito hiyo ni jmos iliyopita,ila akmesalimika kako hosp.
Wanahitaji malezi yaliyo makini sana
baada ya kuni put off big time leo ndo kanajipendekeza kwangu,utafanyaje nawe ni mzazi,nimekakumbatia.am sorry dad nyiiiiiiiiiiiiingi.
 
Manyusi,just a question,hivi kulea kuna specific formula? yaani kwamba ukichanganya maji na unga unapata ugali,unga maji na mafuta unapata chapati? ndugu yangu Manyusi,binadamu tunazaa mwili sio roho,wapo watoto wengi from the so called very good families baba mchungaji mama mkatekista,baba ustaadh mama mwenyekiti wa baraza la wakina mama na bado mitoto yao imeishia kuwa mivuta bangi and vice versa.
 
Tatizo una mambo mengi mno nilikuaga. Vp bado una hasira?! Acha kufatilia sana mabinti utakufa na BP bure
nakubaliana na wewe shemeji,vinginevyo ni full presha.
 
Halafu, hutajua kama ni shoga mpaka mtaa mzima na wa pili wajue, siku ukijua wewe, wanashangaa.. "mbona siku nyingi wewe ndio unajua leo". Yarabi, tunusurie wenetu maana mambo mengine hata usiwaze, unaweza kufa kwa kitu ambacho hakipo.

 
Hako ka 16 ndio umri wenyewe wa matatizo, kanadhani kamekua wakati bado kana safari ndefu, tena kwa sasa hivi kana miaka kama 10 mingine ndio kawe kamtu. ingekua enzi zile ningekuambia miaka mi5 ijayo utapumzika. watoto wa siku hizi wanajikuza haraka haraka sana utadhani wameambiwa maisha yanaisha. pole Bishanga, kaza buti, usichoke kusema.

kameturn 16
 
ndo maana bora kuwa mwoga
ukiona huelewi hata unywele
peleka hospital

Halafu, hutajua kama ni shoga mpaka mtaa mzima na wa pili wajue, siku ukijua wewe, wanashangaa.. "mbona siku nyingi wewe ndio unajua leo". Yarabi, tunusurie wenetu maana mambo mengine hata usiwaze, unaweza kufa kwa kitu ambacho hakipo.
 

Hapo umenifundisha kitu maana kule ni pasua kichwa kupelekwa selo ni kitendo cha faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…