Inategemea ulijuana na huyo mtu kwa njia gani na je kama kwa njia ya mtandao uliwahi kuchunguza mambo yake mbali mbali , mahusiano yake na jamii haswa kikazi na kadhalika ?
Ila watch out na watu wa mitandao huku kuna mambo sana uliza walio kuwa na experiance kuna wengine wamekimbia jamii forums kisa alikutana na kibuzi humu --- akaja kushituka mume wa mtu basi akakacha kuja tena