Jamani kulikoni?

Jamani kulikoni?

Shishi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
1,242
Reaction score
42
Hivi ni kwa nini watu wamekuwa walaghai sana tena sana.....mie nashindwa kabisa!😡
 
Dear Shishi

Inategemea ulijuana na huyo mtu kwa njia gani na je kama kwa njia ya mtandao uliwahi kuchunguza mambo yake mbali mbali , mahusiano yake na jamii haswa kikazi na kadhalika ?
 
Ila watch out na watu wa mitandao huku kuna mambo sana uliza walio kuwa na experiance kuna wengine wamekimbia jamii forums kisa alikutana na kibuzi humu --- akaja kushituka mume wa mtu basi akakacha kuja tena
 
Back
Top Bottom