Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hawa ni wa kupiga mateke
Hivyo ndio vyakula gani mkuu
Hao wako wengi sana mtu anakula mhindi w kuchoma n ndimu kisha anaenda kupiga mechi c majanga hayo
hapo jamaa anaenda kuwasimulia washkaji kasimamia shoo kumbe wap
Haya maswala ya kuitana mazoba mara boya sio mazuri kabsa we unadhani kwa hayo mazingira ukishashusha mzigo utapata hamu ya kuendelea wakat umeponea kukutwa
hili dongo linahusu wale wanaoushi kuleeeeeee mimi sipo