Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Juzi niliambiwa kuna kipimo cha kumeza kipira juu ya maumivu ya kifua na tumbo, nilikua namuulizia matibabu kaka yangu analalamika sana juu ya kifua na maumivu tumboni nikaelekezwa niwaone maspecialisty wa kifua na tumbo,
je huyu physician nimeambiwa anaweza kua wa kifua na tumbo mmoja tu au natakiwa kuwaona wote wawili
je huyu physician nimeambiwa anaweza kua wa kifua na tumbo mmoja tu au natakiwa kuwaona wote wawili