Jamani kuna mtu anayeijua biashara ya trevo?

Jamani kuna mtu anayeijua biashara ya trevo?

priva

Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
14
Reaction score
6
Ningependa kuelimishwa kuhusu biashara ya trevo kama kuna mtu anauzoefu nayo naomba anipashe.
 
Hayo makitu yanauzwa bei ghali....sasa kwa awamu ya sasa ya kuisoma namba na mnyoosho wa mwendo kasi sijui utamuuzia nani?
 
najua unataka kuwa billionare km unavotamanishwa na wengine


kiufupi bidhaa zao ni ghari sana na utaishia kuwaungisha tu bidhaa utazunguka nayo mwisho wa siku utaishia kuinywa wewe na familia yako.

km una kapesa ka mtaji anza kujiajiri biashara ndogondogo.

mtaji ukikua ndo uingie huko.
 
Back
Top Bottom