P priva Member Joined Mar 24, 2012 Posts 14 Reaction score 6 Dec 5, 2016 #1 Ningependa kuelimishwa kuhusu biashara ya trevo kama kuna mtu anauzoefu nayo naomba anipashe.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 5, 2016 #2 Kuna mtu anaitwa mama Swai kama upo Arusha anapatikana jengo la NSSF, no yake 0767330500
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 5, 2016 #3 Mimi ni mtumiaji wa trevo binafsi naipenda.
muzi JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 1,041 Reaction score 1,457 Dec 5, 2016 #4 Hayo makitu yanauzwa bei ghali....sasa kwa awamu ya sasa ya kuisoma namba na mnyoosho wa mwendo kasi sijui utamuuzia nani?
Hayo makitu yanauzwa bei ghali....sasa kwa awamu ya sasa ya kuisoma namba na mnyoosho wa mwendo kasi sijui utamuuzia nani?
Me too JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,388 Reaction score 9,333 Dec 6, 2016 #5 najua unataka kuwa billionare km unavotamanishwa na wengine kiufupi bidhaa zao ni ghari sana na utaishia kuwaungisha tu bidhaa utazunguka nayo mwisho wa siku utaishia kuinywa wewe na familia yako. km una kapesa ka mtaji anza kujiajiri biashara ndogondogo. mtaji ukikua ndo uingie huko.
najua unataka kuwa billionare km unavotamanishwa na wengine kiufupi bidhaa zao ni ghari sana na utaishia kuwaungisha tu bidhaa utazunguka nayo mwisho wa siku utaishia kuinywa wewe na familia yako. km una kapesa ka mtaji anza kujiajiri biashara ndogondogo. mtaji ukikua ndo uingie huko.