Jamani kuna mtu anayeijua biashara ya trevo?

priva

Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
14
Reaction score
6
Ningependa kuelimishwa kuhusu biashara ya trevo kama kuna mtu anauzoefu nayo naomba anipashe.
 
Kuna mtu anaitwa mama Swai kama upo Arusha anapatikana jengo la NSSF, no yake 0767330500
 
Hayo makitu yanauzwa bei ghali....sasa kwa awamu ya sasa ya kuisoma namba na mnyoosho wa mwendo kasi sijui utamuuzia nani?
 
najua unataka kuwa billionare km unavotamanishwa na wengine


kiufupi bidhaa zao ni ghari sana na utaishia kuwaungisha tu bidhaa utazunguka nayo mwisho wa siku utaishia kuinywa wewe na familia yako.

km una kapesa ka mtaji anza kujiajiri biashara ndogondogo.

mtaji ukikua ndo uingie huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…