Jamani kuna nini kinaendelea kati ya Azam TV na CHADEMA?

Nyie mna udumavu wa akili, we na huyo nani mpuuzi sasa? Mataahira mnalazimisha Azam afanye shughuli zake mnavyotaka nyie nyumbu? Huoni ht haya? Nani kwanza atakubali kutangaza huo upumbavu wenu
aweke wazi maslahi yake kwamba hatarusha habari zisizomfurahisha kama ana masafa aliyopewa ni yake binafsi
 
Media gani Tanzania ipo huru na inaripoti kwa weledi? Zote ni uozo mtupu
Kwa kweli inashangaza kukomalia Azam wakati media zote zinaripoti kwa matakwa ya serikali.

Hebu aseme ni kweli Star TV, ITV au TBC zinaripoti issue za Chadema kama wanavyotaka wao?

Mleta mada ana ajenda zake za siri kwa Azam (roho dhaifu)
 
Mnaishabikia sana hiyo Azam, acha iwakere.
Sina mpango wa kununua hata king'amuzi chao, maana nilishayaona haya mapeeeeeema.
 
Jamani kuna nini kinaendelea kwa anaejua kati ya Azam media na CHADEMA,naona wanareport taarifa hasi tu kuhusu CHADEMA, kama ni taarifa nyingine basi wanapewa muda mfupi mno,au CCM wameinunua kana walivyo fanya kwa channel 10,mwenye kujua tafadhali.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ile Azam iliyikuwa chini ya uongozi wa Tido Mhando na hii ya sasa. Wewe fahamu hilo tu. Hii ya sasa ilishapoteza direction kitambo tu.
 
Azam media hakuna udini
 
Jamani kuna nini kinaendelea kwa anaejua kati ya Azam media na CHADEMA,naona wanareport taarifa hasi tu kuhusu CHADEMA, kama ni taarifa nyingine basi wanapewa muda mfupi mno,au CCM wameinunua kana walivyo fanya kwa channel 10,mwenye kujua tafadhali.
Hv chadema wanashindwa kuwa na RADIO na TV yao?
 
Kwa kweli inashangaza kukomalia Azam wakati media zote zinaripoti kwa matakwa ya serikali.

Hebu aseme ni kweli Star TV, ITV au TBC zinaripoti issue za Chadema kama wanavyotaka wao?

Mleta mada ana ajenda zake za siri kwa Azam (roho dhaifu)
Azam wamezid mkuu,ndo maana nimeleta mada hapa,au ni wewe ni mmojawapo nn
 
Chadema ni chama cha hovyo kinatabia za udikteta kupangia watu cha kufanya
 
Kwa kweli inashangaza kukomalia Azam wakati media zote zinaripoti kwa matakwa ya serikali.

Hebu aseme ni kweli Star TV, ITV au TBC zinaripoti issue za Chadema kama wanavyotaka wao?

Mleta mada ana ajenda zake za siri kwa Azam (roho dhaifu)
Udini una msumbua
 
Jamani kuna nini kinaendelea kwa anaejua kati ya Azam media na CHADEMA,naona wanareport taarifa hasi tu kuhusu CHADEMA, kama ni taarifa nyingine basi wanapewa muda mfupi mno,au CCM wameinunua kana walivyo fanya kwa channel 10,mwenye kujua tafadhali.
Baruani Muhuza alikuwa mgombea wa Ubunge wa ccm Kigoma Mjini, wakati huo akiwa bado ni Mtangazaji wa Azam, aliangushwa kwenye kura za maoni na Kirumbe Ng'enda, 2020
 
Tusisahau siku za nyuma kuna wakati ule upande wa pili walikuwa hawanywi maji ya kilimajaro ya Mengi, na badala yake walikuwa wanakunywa uhai tu. Azam ni wadini wa kutupwa na sasa hivi rais ni mwislam.
 
TBC ndiyo wanapaswa kuonesha habari bila upendeleo kwasababu wananchi wote bila kujali itikadi za vyama ndiyo wanawalipa mishahara watangazaji kupitia kodi.

Vituo binafsi vya utangazaji hata vikiamua kuegemea uoande fulani ni sawa kutokana na maslahi wanayopata.
 
Angalau mngeendelea kulalamikia TBC chombo cha umma.

Azam keshawai kupata hasara kwasababu ya tuhuma za kusuport upinzani Zanzibar,kwaio ni lazima awe makini kawekeza pesa nyingi kwenye Media yake binafsi.
 
Tatizo wanabanwa.hakuxa media huru.labda jambo tv
Kunifunza kwa kuona Nako ni kusoma.
Walisoma kwa STAR TV uchanguzi Mkuu wa 2015 na Tido Mhando wa TBC uchanguzi wa 2010, nini viliwakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…