Hahahhaha wanaongea Kiingereza huko KasaraniSijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman ,
Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira tunataka nyie wataalam wa Mupira mtufunze kidogo, ili tukikutana kwenye fainali Tuweze
Kukudinyeni ........ oooh sorry by the way Kenya inashiriki kwenye michuano gani mwaka huu ?
Rudini barabarani kubeba masufuria ya njaa.Na venye watz mko hopeless nyamaseni na mambo ya mpira
Kenya hatuna njaa surely,,Rudini barabarani kubeba masufuria ya njaa.
Hahaaa...Kenya hatuna njaa surely,,
Hahaaa mama yoyoooo tumenyamasaNa venye watz mko hopeless nyamaseni na mambo ya mpira