mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Hizi njaa zingine, ni shida, angekuwa na pesa angeangaika kumtafta lowassa, leo hii maziwa saa 10!??miaka thelathini na mbili ameshaolewa mara mbili bado ana watoto wanne wa tata kwenye ndoa ya kwanza anataka apewe matunzo na baba yake ..
Au katumwa!