ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Ngoja Tusubiri tuone !Kuanzia sasa upinzani ndani ya chama utakuwa mara dufu uadui na uhasimu baina ya maswahiba wa muda mrefu ndani ya chama utakuwa mkubwa zaidi timu pinzani ndani ya chama zitatafuta mbinu nzito kuangusha timu kijiti
Ndo maana CCM itatawala milele kwa akili kama zako za uoga uoga.Fake ID nakukumbusha Melo ni mwajiriwa wa Sasha
Wagalatia watakubali kuiachia zamu yao. ??!2030 anamweka Mtoto kuwa RAISI huu ni mpango ambao umepangwa Toka mwaka Jana ndiyo maana January amepigwa chini ili kusiwe na upinzani ndani ya chama
😁😁😁😁😁😁Tuliambiwa kuwa kuna syndicate au cartel inayoongoza nchi. Sasa hivi imejiweka wazi. Uamuzi ni wenu.
Askofu Bagonza aliwahi kusema "ukiwa mwoga, hicho unachokiogopa kitakuja kukutoa uhai"
Hunijui ila umehitimisha kila kitu CCM ita tawala milele kwa sababu hamtaweza kuiangusha kwa fake IDsNdo maana CCM itatawala milele kwa akili kama zako za uoga uoga.
Wew utakuja kutukamatisha na sisi tusiojua chochote kama tu endapo tutaonyesh kukuunga mkono post yako hyoMsonga kwa kushirikiana na Samia walimuua Magufuli.
Mkuu kwani Mwashambwa, Tlaatlaah, choicevarible na mtoto wa shule wanasemaje???We need reforms all of us to freed from the cartel.
Kuna mpumbavu mmoja leo alileta uzi wa kishamba eti anauliza kwanini JK anachukiwa sana ...sasa nadhani inatosha kwake kuufamisha ubongo wakeMsoga kuweni na aibu kidogo, mnajenga chuki dhidi ya vizazi vyenu!
Angalau weka watu mshindanishwe....mkipita it is OK,.....haya mnayofanya hakuna anayewaunga mkono!
Tanzanians are still asleep, the need to be awakened.Justice is not given on the table for you, you have to fight for it.
Acha uoga wewe.Mdomo mdomo
Mkuu tafuta chimbo ulambe asaliMsoga kuweni na aibu kidogo, mnajenga chuki dhidi ya vizazi vyenu!
Angalau weka watu mshindanishwe....mkipita it is OK,.....haya mnayofanya hakuna anayewaunga mkono!
Kwahiyo unalazimisha watu wagombee hata kama hawataki?Msoga kuweni na aibu kidogo, mnajenga chuki dhidi ya vizazi vyenu!
Angalau weka watu mshindanishwe....mkipita it is OK,.....haya mnayofanya hakuna anayewaunga mkono!
Una ushahid na usemaloAcha uoga wewe.
So sad ☹️exactly!
The term "cartel government" can refer to a few different concepts, but it generally describes a situation where a government or political system functions like a cartel, using its power to benefit a select group or party, often at the expense of the broader population.
This can manifest as a concentration of power, suppression of dissent, and manipulation of the political process.
Together we canHu will givu yu zose refomz