sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,291 Nov 1, 2010 #1 naona kimya... huko!!
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Nov 1, 2010 #2 Rostam anelekea kushinda maana ameshashinda more tha 70% ya kata zote
Masaki JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,463 Reaction score 754 Nov 1, 2010 #3 Mfunyukuzi said: Rostam anelekea kushinda maana ameshashinda more tha 70% ya kata zote Click to expand... Kwa Rostam kusema ukweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wananchi wake wanampenda.
Mfunyukuzi said: Rostam anelekea kushinda maana ameshashinda more tha 70% ya kata zote Click to expand... Kwa Rostam kusema ukweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wananchi wake wanampenda.
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,269 Reaction score 4,579 Nov 1, 2010 #4 Habari ambazo siyo rasmi, CUF wamemwangusha Rostam
M mpongopongo Member Joined Nov 1, 2010 Posts 16 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #5 hali ya rostam kwa igunga mjini sio nzuri chadema imechukua udiwani igunga mjini kwa matokeo yaliothibitishwa, mgombea wa ubunge CUF anaongoza kwa kata ya mjini
hali ya rostam kwa igunga mjini sio nzuri chadema imechukua udiwani igunga mjini kwa matokeo yaliothibitishwa, mgombea wa ubunge CUF anaongoza kwa kata ya mjini
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,291 Nov 1, 2010 Thread starter #6 tusubir updates zaidi...!!