Elections 2010 Jamani..kwa Rostam vipi??

Elections 2010 Jamani..kwa Rostam vipi??

Habari ambazo siyo rasmi, CUF wamemwangusha Rostam
 
hali ya rostam kwa igunga mjini sio nzuri chadema imechukua udiwani igunga mjini kwa matokeo yaliothibitishwa, mgombea wa ubunge CUF anaongoza kwa kata ya mjini
 
Back
Top Bottom