Huko umepataja ni governers tu ndo panabamba ijumaa. Sehemu ziko nyingii. Ila anza na tipsMashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.
Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.
Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
Rainbow mmoja hapanogi. Labda mume wawili hivi na kuendelea NNRainbow.....kwa utulivu na amani.
Anyone who wants some smoke can come and get it.
Call me Chimney Ngabu.
I’ll be there waiting.
Rainbow IPI?Rainbow.....kwa utulivu na amani.
Anyone who wants some smoke can come and get it.
Call me Chimney Ngabu.
I’ll be there waiting.
huku mbweni...ndio shughuli za ufugaji nafanyia hukoni wapi huko
Ohh I dont like smoking