Ndo nini hiyo bar hopping kwanza?Ila Mzigua hiyo bar hopping haikuchoshi kweli?
Mi nikiendaga sehemu moja nakaa hapo hapo na nikitoka narudi zangu nyumbani.
Bar hopping siiwezi. Sijui ndo uzee....
Ni Jeni Gumbo Au Halafu Ni Askari Lishangingi Hatari JeupeeeeeeeNaondoka Liquid. Pazuri kwa kweli. Lily na dadake wamejitahidi
Tatizo la hizo Cruise nazo huchelewi kuumwa, saa ingine mi vyakula yao inakuwa iko contaminated!
Ndo nini hiyo bar hopping kwanza?
Eeeeh. Lily alikuaga shoga angu enzi hizooo niko IFM. Sasa hivi hata nikimuonq najifanya simkumbukiNi Jeni Gumbo Au Halafu Ni Askari Lishangingi Hatari Jeupeeeeeee
Wasaka papuchi utawajua tu![emoji28][emoji28][emoji28]Unaingiana wap kwa hotel?
Immune yangu ina cooperate haswaaa huwa haini disappoint kwa kweli kwa mambo hayo ya once in a while. Nadhani inaelewa hela yenyewe naisotea [emoji4][emoji3][emoji3]
Hii ratiba iko bien ,nimekubaliIko hivi....unaenda na Debbie pale La Stanza. Mnakunywa mbili tatu mnaamua kuondoka. Mnaenda Tips kukutana na mmoja wa wale ‘learned sisters’. Baadaye mnatoka Tips mnaenda sijuii nini Dragon ile....
Mkitoka hapo mnapita 777. Baadaye mnaenda Jackie’s... mkichoka ndo kila mtu anatawanyika alikotokea.
Hahahaaaaa. Huna akili wewe. Umemuweka Debbie na Learned Sister naona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Btw niko Papi Chulo saa hiiIko hivi....unaenda na Debbie pale La Stanza. Mnakunywa mbili tatu mnaamua kuondoka. Mnaenda Tips kukutana na mmoja wa wale ‘learned sisters’. Baadaye mnatoka Tips mnaenda sijuii nini Dragon ile....
Mkitoka hapo mnapita 777. Baadaye mnaenda Jackie’s... mkichoka ndo kila mtu anatawanyika alikotokea.
We katege Villa park[emoji23]Wale wa mikoanii tunakutan wap!
Wale wa Mwanza tukutan Coconut mitaa ya Natta
Pale pa watoto waguni wahuniWrite your reply...Nashangaa Wadau Mmepachunia Element
Ahahaa chizi wewe.Mimi wala sinaga time na mtuUnaenda danga wazee wanaovaa linen nyeupe kama mizimu
HahahaaaaAhahaa chizi wewe.Mimi wala sinaga time na mtu
Upo wapi Leo?Hahahaaaa
Quality chicks....Write your reply...Nashangaa Wadau Mmepachunia Element