Jamani leo Ijumaa bata wapi

Jamani leo Ijumaa bata wapi

mimi nitakuwa governors sasa wewe ulifika pale jaribu kupapasa macho ukiona kuna mtu amepanga kreti za castle lite urefu wake ujue ndio mimi

njoo uninong'oneze mimi ndio vivian wa Jf hakikisha wengine hawasikii
 
Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.

Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.

Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
Mleta Mada kitambo sana upo ? Tips si pabaya kwa kuanzia
 
Kweli kila kitu na umri wake, mie saa moja nishajifungia ndani na roho nyeupee pyeee, [emoji4][emoji4][emoji4]

Happy Friday jirani!

Sasa ukishajifungia unafanya nini? Unakunywa MD 20/20 au lemonade?
 
Back
Top Bottom