Jamani leo Ijumaa bata wapi

Jamani leo Ijumaa bata wapi

Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.

Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.

Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
Aisee!
 
Wakati mnaulizia pakwenda kula bata msisahau kwamba kuna siku ya kuulizwa ujana wako uliutumia vipi..?
 
Back
Top Bottom