Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
- Thread starter
- #61
Heh, kuna mtu kaiba pasiwedi ya Lizzy?
Leo na yeye kawa maharage ya Mbeya 🙂
Ta Kamugisha, katambikie ulikopita leo na hongera sana.
Ni kipaji tu, wengine tumezaliwa kupendwa, hakuna cha kutambika wala nini hapa, ni sera zako zikiwa na mashiko unag'oa kiulaini tu.