Ya hata yeye kaniambia kuwa bodi inapendeza hata kuliko inapokuwa na mikanda.Hata mimi fundi aliniambia hivyo hivyo kwenye bodi siku hizi hawafungi mikanda maana huo ni mtindo wa zamani.
Nikaanza kufanya uchunguzi hasa kwenye pages mbali mbali za mafundi decor nimeona wengi hawaweki mikanda na kweli inaonekana vizuri.
Nakushauri usimbishie fundi ila jipe muda wa kuchunguza.
Madirisha ni futi 6 kwa 5Mm nakuambia kama fundi, achana na huo mtindo wa mikanda ni wa miaka ya 2000-2013. Tushausahau kabisa Au unajengea hela za mafao?.
Dirisha zako zina ukubwa gani?View attachment 3214526
Yaa hata yeye aliniambia kuwa nyumba itapendeza kuliko ningeweka mikanda.Mi nilishanunua mikanda na bodi kwa hesabu ya fundi mwingine, fundi aliekuja kuskim akashauri tusitumie mikanda, nikakomaa akasema basi mikanda tuweke vymbani tuu, sa hv natamani nyumba nzima nisingeweka mikanda. Dining na sebule panavutia sana bila mikanda.
Angalia mfano huuMi nilishanunua mikanda na bodi kwa hesabu ya fundi mwingine, fundi aliekuja kuskim akashauri tusitumie mikanda, nikakomaa akasema basi mikanda tuweke vymbani tuu, sa hv natamani nyumba nzima nisingeweka mikanda. Dining na sebule panavutia sana bila mikanda.
Naam inaoendeza sana, kama walivyo sema wadau kufunga mikanda ni ya kizamani kidogo, ule mvuto ulio kuwepo kwa sasa hauna maana tena.Eti Pendaelli nyumba bila mkanda inapendeza?
Hii ni restaurant au?Angalia mfano huu
Mikanda ya juu inayotumika kuunga gypsum board na ukuta. Mimi nilifikiri mikanda ni lazima gypsum board haikai bila mikanda! Kumbe ni urembo tuMikanda ndio kitu ga i jameni
Ah ile mbona inanogesha lakini nyumbaMikanda ya juu inayotumika kuunga gypsum board na ukuta. Mimi nilifikiri mikanda ni lazima gypsum board haikai bila mikanda! Kumbe ni urembo tu
Lakini hii sii kama mtu ataweka maurembo kwenye ceiling. Sie wape da flat ceiling sii itachukiza mzeyaNaam inaoendeza sana, kama walivyo sema wadau kufunga mikanda ni ya kizamani kidogo, ule mvuto ulio kuwepo kwa sasa hauna maana tena.
Uzuri ni kuwa kila kunapopambazuka maboresho kwenye mfumo wa ujenzi yanaibuliwa hivyo ni muhimu kila mmoja wetu kuwa tayari kwa mabadiliko.
Ndio wanasema hapa bila ile nyumba inapendeza zaidi. Mimi naona ni preference tu sio kwamba eti imepitwa na fashion. Tatizo wabongo wanachelewa kujua vitu halafu wanaona ni mtindo mpya,ukija mtindo mwingine wanasema ule umepitwa na wakati.Ah ile mbona inanogesha lakini nyumba
Fanya kitu unachopenda wewe hasa kama ni urembo au mtindo wa nyumba. Kuna watu nyumba zao zimekuwa vituko kwa kuwasiliza mafundi.Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika.
Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho nijibu ni kuwa mikanda ni mtindo wa kizamani kwa sasa mikanda haitumiki japo kuwa ameniambia kuwa kama nataka iwepo na penyewe haina shida.
Sasa mafundi skiming naomba ufafanuzi juu ya hili ni kweli kabisa kuwa nyumba inaweza ikapendeza bila kupiga mikanda ?