Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho nijibu ni kuwa mikanda ni mtindo wa kizamani kwa sasa mikanda haitumiki japo kuwa ameniambia kuwa kama nataka iwepo na penyewe haina shida.
Muda mwingine wanakushauri vitu ili wapunguza kazi, niliambiwa na mtu mmoja kuwa ile mikanda ni muhimu katika kupoteza mawimbi yanayojitokeza kutokana na miyumbo ya boards na akanionyesha tofauti nikamuelewa, mimi bado natumia mikanda kwenye majengo yangu
 
Kuwa na mikanda ama kutokuwa na mikanda inategemea na designing ya body Yako, kama body unataka iwe plain tu kwa sehemu kubwa(yani hutaki maurembo urembo kama "Mimi"😅) basi mikanda inapendeza hasa ile mikanda ya plain. Lkn kama body Yako ina decorations kibao basi mikanda haifai( ila Mimi binafsi napenda sana ila iwe plan
 
Mimi fundi hakueka ila Kuna fundi mwingine alikuja akasema hizo ni muhimu sijui bati likipata joto zile board zitalegee baadae hazitodumu
 
Mimi fundi hakueka ila Kuna fundi mwingine alikuja akasema hizo ni muhimu sijui bati likipata joto zile board zitalegee baadae hazitodumu
Lakini palipendeza sio?
 
Hongera kwa hatua hiyo Boss, Ukifika hatua ya Aluminum na vioo karibu tufanye kazi, nyumba izidi kupendeza.Tunapatikana Mbezi mwisho ya kimara, Kazi safi bei za kizalendo, 0743664260/0684617585. Karibu sana
 
Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika.
Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho nijibu ni kuwa mikanda ni mtindo wa kizamani kwa sasa mikanda haitumiki japo kuwa ameniambia kuwa kama nataka iwepo na penyewe haina shida.

Sasa mafundi skiming naomba ufafanuzi juu ya hili ni kweli kabisa kuwa nyumba inaweza ikapendeza bila kupiga mikanda ?
Kama Unataka Mikanda weka; ukipendacho ndicho ukifanya. Yawezekana ndoto yako ilikuwa kumiliki nyumba yenye Mikanda. Wasizuie ndoto yako
 
Muda mwingine wanakushauri vitu ili wapunguza kazi, niliambiwa na mtu mmoja kuwa ile mikanda ni muhimu katika kupoteza mawimbi yanayojitokeza kutokana na miyumbo ya boards na akanionyesha tofauti nikamuelewa, mimi bado natumia mikanda kwenye majengo yangu
This makes sense
 
Kama Unataka Mikanda weka; ukipendacho ndicho ukifanya. Yawezekana ndoto yako ilikuwa kumiliki nyumba yenye Mikanda. Wasizuie ndoto yako
Lakini pia kwenda na wakati muhimu.
 
Mikanda ya juu inayotumika kuunga gypsum board na ukuta. Mimi nilifikiri mikanda ni lazima gypsum board haikai bila mikanda! Kumbe ni urembo tu
Ila kweli ni kuongeza gharama tu yaani Mikanda + Gypsum Powder ni heri ukanunua Wall Putty moja kwa moja..
 
Lakini hii sii kama mtu ataweka maurembo kwenye ceiling. Sie wape da flat ceiling sii itachukiza mzeya
Haiwezi kuchukiza moja kwa moja, ingawa kwa sasa pia kuna mikanda plain tofauti na ile yenye mau mengi
Ul

0ff4f94743afe887bc9822013048d35f.jpg
unaweza kuweka plain isiyo na makoro koro mengi kama hio, ile silling plain kabisa kidogo changamoto bro.
 
Back
Top Bottom