Jamani Magagulo yamepotelea wapi ??

Jamani Magagulo yamepotelea wapi ??

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Natumai mko poa.

gagulo3.jpg

Jamani magagulo yamepotelea wapi .Nadhani wale wa umri wangu wanalikumbuka hili vazi la siri na la heshima sana enzi hizo.

Huwezi kumkuta mdada au mmama hajalivaa hilo vazi la sirini,hivi yamekuwaje tena hayaonikani wala kuvaliwa na sababu ya kutokuyavaa ni nini wakuu hebu tufahamishane kuhusu hili vazi.

Nakumbuka utoto wangu nikikosea kuvunua sehemu nisiyoelekezwa, basi Bibi ataniambi wewe utakuja kufunua hadi Gagulo la mkweo,kwa jinsi hili vazi lilivyokuwa la heshima na la siri.
Tuambiane wakuu kulikoni Magagulo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Natumai mko poa.

Jamani magagulo yamepotelea wapi ....... Nadhani wale wa umri wangu wanalikumbuka hili vazi la siri na la heshima sana enzi hizo.

Huwezi kumkuta mdada au mmama hajalivaa hilo vazi la sirini,hivi yamekuwaje tena hayaonikani wala kuvaliwa na sababu ya kutokuyavaa ni nini ....... wakuu hebu tufahamishane kuhusu hili vazi.

Nakumbuka utoto wangu nikikosea kuvunua sehemu nisiyoelekezwa, basi Bibi ataniambi wewe utakuja kufunua hadi Gagulo la mkweo,kwa jinsi hili vazi lilivyokuwa la heshima na la siri.
Tuambiane wakuu kulikoni Magagulo.
yasubiri yatakuja soon mitumba ikipotezwa,na viwanda vyetu kurudi...ushaahidiwa na serikali yako kuwa subiri nchi ya viwanda..
 
yasubiri yatakuja soon mitumba ikipotezwa,na viwanda vyetu kurudi...ushaahidiwa na serikali yako kuwa subiri nchi ya viwanda..
Kwahiyo na yenyewe yanarudishwa.
 
Nyuzi zingine ukiona tu kichwa cha habari unakuwa na matumaini ya kukutana na picha ya kukamilisha habari kwa mfano huu uzi unahitaji sana picha. Mkuu tupia picha kukamilisha uzi wako plz.
 
Ukiyahitaji kuyaona yawahi kwenye kabati la nyanya yako kama utakua na bahati, sikuhizi magauni yanashonwa na lining.
Itakuwa wakina bi wakubwa waliyarithi,ila si unajua tena vya kike vinapotolewa nyie wakiume hamuvioni.
 
Back
Top Bottom