Jamani Magagulo yamepotelea wapi ??

Nyuzi zingine ukiona tu kichwa cha habari unakuwa na matumaini ya kukutana na picha ya kukamilisha habari kwa mfano huu uzi unahitaji sana picha. Mkuu tupia picha kukamilisha uzi wako plz.
Kwa jinsi lilivyokuwa la sirini,sidhani kama kuna aliyewahi kujipigia picha,na hata kama alipigia kwa kipindi hiki sijui kama hipo. Nimesachi Google hola.
 
Nyuzi zingine ukiona tu kichwa cha habari unakuwa na matumaini ya kukutana na picha ya kukamilisha habari kwa mfano huu uzi unahitaji sana picha. Mkuu tupia picha kukamilisha uzi wako plz.
Enzi hizo hapakuwa na mitandao kwahiyo hata Google haipo.
 
yalikua mazuri sana kama mtu umepata dharura...
 
Mabadiliko ya tabia nchi ndio yamelipoteza, huoni hata pichu za siku hizi ni tofauti na za zamani? siku hizi kamba kamba tu si bukta tena.
 
Dah! Magagulo! Umenikumbusha mbali sana, enzi za kupenda kwenda kushangilia netball, siku hizi haina tena ladha hiyo netball yenyewe, maana wanavaa ma skintight, wakiruka juu hata motisha hakuna!
 
Out of fashion, picchu AKA will also be out of fashion very soon. Nadhani umesikia warembo siku hizi wakienda kujirusha hawavai picchu wanadai papuchi nayo ina haki ya kupata hewa safi oxygen. Kuliwahi kuwa na uzi humu ambao ulihusu gagulo na wadada wengi humu walichangia sana.

 
yapo samsun huwezi kuyaona maana ni vazi la ndani labda kama unachungulia chungulia sana
 
Mie huwa napenda kuvaa mini gown na skirt. Ikitokea nimevaa skirt au gauni ambalo litaonyesha kyupi hasa nikiwa nimesimama kwenye mwanga yaani kama ntaonekana transparent lazima nitupie gagulo. Sipendi kuvaa skin tite na ndo hadi leo naendeleza gagulo. Ila hata nikikaa gauni refu transparent ntatupiamo gagulo fupi.

Kinachonikera kuhusu magagulo ni pale gagulo linapochungulia chini ya sketi au gauni.

Kasie.
 


Siku hizi wanawake wetu wanasema hawataki kunyanyaswa, biashara ni kujitangaza kama hayo magagulo ni mali basi yapelekwe uarabuni wanawake wa huko wanunue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…