Jamani Magagulo yamepotelea wapi ??

Zipo kwenye minada bei sawa na bure buku jero tu
 
Mabadiliko ya tabia nchi ndio yamelipoteza, huoni hata pichu za siku hizi ni tofauti na za zamani? siku hizi kamba kamba tu si bukta tena.
Ila liliheshimika sana.
Mimi ninayo siwezi vaa gauni bila hiyo kitu[emoji21]
Safi sana.
Dah! Magagulo! Umenikumbusha mbali sana, enzi za kupenda kwenda kushangilia netball, siku hizi haina tena ladha hiyo netball yenyewe, maana wanavaa ma skintight, wakiruka juu hata motisha hakuna!
Ilikuwa burudani sana,njiani mnasimuliana Gagulo la Eva rangi ya bluu mwingine anasema la Fatuma la rangi ya njano.
Hebu tutafutie tuuone ili kama vipi tuchangie.
yapo samsun huwezi kuyaona maana ni vazi la ndani labda kama unachungulia chungulia sana
Nimeelezea hivo kwa sababu hata kwenye kamba za kuanikia nguo sizioni,wakati "pichu" naziona.
Ni kweli,uzuri wa hayo makitu yasitokeze kwa chini inatakiwa ukivaa mtu asijue kama umetupiamo Gagulo.
Siku hizi wanawake wetu wanasema hawataki kunyanyaswa, biashara ni kujitangaza kama hayo magagulo ni mali basi yapelekwe uarabuni wanawake wa huko wanunue.
Mbona Gagulo kama upo kibiashara ndio zuri, maana wanaweza kuvaa lenyewe tu bila ya sketi.
 
wanawake wa siku hizi wanavaa chupi na sketi za kubana ili uone michirizi ya edge za chupi katika matako basi wanaskia raha wenyewe...sa akivaa gagulo utaona je michirizi ya chupi?
 
Dah! Magagulo! Umenikumbusha mbali sana, enzi za kupenda kwenda kushangilia netball, siku hizi haina tena ladha hiyo netball yenyewe, maana wanavaa ma skintight, wakiruka juu hata motisha hakuna!
Ndo ilikua tabia yako kumbe ee
 
Hayapo sababu siku izi hakuna tena rede. Gauni lilitumika kudakia mpira enzi hizo wakati wa rede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…